Sms gani za kusisimua uzipendazo?
Faustine JohnExpert
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
siku moja rafiki yangu aliniuliza
yeye: jana ulikua unaongea nini na yule msichana?
mimi: siwezi kukwambia
yeye: kwa nini?
mimi: nimemuahidi kuwa sitamwambia mtu
yeye: ahaa . basi sawa. usiniambie
mimi: usijali jamaa. nimemuahidi kuwa sitamwambia mtu.
yeye: kwa hiyo?
mimi: nipe peni na karatasi. nitakuandikia.
yeye: dah we ni noma.