Sms nzuri za ujumbe wa maisha ni zipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Sms za ujumbe wa maisha
Usisubiri kesho…
Ishi leo…
Kwa sababu
Kesho huwa haifiki
————————–
Nyota haziwezi kung’aa bila giza…
Maisha hayawezi kung’aa bila maumivu…
-Usikate tamaa
—————————————————-
mafanikio ni gari
matairi yanaitwa
“BIDII”
lakini safari haiwezekani
bila mafuta yanayoitwa
“KUJIAMINI”
———————————-
Uamuzi sahihi unaongeza kujiamini
“na”
Maamuzi yasiyo sahihi yanaongeza uzoefu
Kwa hiyo hakuna haja ya kuwaza lolote kati ya hayo
————————————————————–
kuwa na wasiwasi hakuondoi matatizo ya kesho
baadala yake kunaondoa amani ya leo
kwa hiyo acha kuwa na wasiwasi
tabasamu endelea na maisha
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppMaisha ni kama treni,
haisimami mpaka ifikie kituo chake
————————————————————
wasiwasi hautatui matatizo ya kesho
zaidi unaondoa amani ya leo.
usiwe na wasiwasi endelea kuishi kwa amani
————————————————————-
Jiamini kuwa unaweza,
utafanikiwa.
Usijidanganye na kutumia njia zisizo halali,
utajutia.
Kuwa mkweli kwako na kwa wengine,
utafanikiwa.
——————————————————-
Usimjaji.
Usimuumize.
Usimdanganye.
Kuwa mtu bora.
Na kuwa wa kwanza kutoa salamu.
—————————————————–
Ni rahisi kutafuta sababu ya kuchukia
Lakini ni ngumu kutafuta sababu ya kufurahi
Usikubali mambo mabaya yakusumbue
Sababu ww ni mfalme wa maisha yako mwenyewe
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNi rahisi kutafuta sababu ya kuchukia
Lakini ni ngumu kutafuta sababu ya kufurahi
Usikubali mambo mabaya yakusumbue
Sababu ww ni mfalme wa maisha yako mwenyewe
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppMedson jackson