SMS kali za vichekesho unazo?
Faustine JohnExpert
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Usiposoma bwana ni tabu tupu em mcheki huyu mlinzi na kadem cha shule ya Olevel (form 1-4)
Mlinzi:Haya amkeni amkeni mwende morning preps
kadem:Anko minaumwa ๐ค๐ค
mlinzi:Haya uniambie waumwa nini??
kadem:Nasumbuliwa na Bionomial Nomenclature.
Mlinzi:Mama yangu weeee,mtoto usisubutu kuamka maana huougonjwa umeuwa watu million 60 ulaya yauko yuropu yuropu
kadem:kaa ๐๐๐ hili jamaa boya kweli