Samatta analipwa kiasi gani Aston Villa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Wataalamu wa mambo wanasema mshahara wake wa wiki unachezea kati ya €20,000 – €30,000. Kwa pesa za kitanzania ni kama kati ya milioni 50 hadi milioni 75 kwa wiki.