Sifa za kujiunga na Chuo cha Mipango Dodoma ni zipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Sifa za kujiunga na chuo cha mipango Dodoma ni sawa tu na sifa za kujiunga na vyuo vingine ukizingatia ngazi ya elimu unayokusudia kusoma, mfano kwa shahada ya kwanza(degree) inaweza kuwa uwe na matokeo yasiyopungua principal pass mbili(2).
Kwa hiyo kujua sifa za kujiunga na chuo hiki ni vyema ukaangalia viwango walivyoviweka TCU kwa shahada na NACTE kwa ngazi ya cheti na diploma