Nawezaje ku install WhatsApp kwenye simu yangu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
1.Google Playstore
Ingia katika app yako ya Google playstore kisha tafuta kwa kuandika neno whatsapp kisha bonyeza kitufe cha ku-download.
Faida ya kudownload kwa njia hii ni uhakika wa usalama wako na kifaa chako(simu yako).
2.Whatsapp website
Ingia katika browser yako kisha nenda whatsapp.com halafu fuata maelekezo kwa ajili ya kudownload.
3.App store nyingine
Unaweza pia kudownload kupitia app store nyingine kama Amazon store na Mobogenie Store.
Kumbuka
Kabla ya ku-install kwa kutumia njia namba 2 na 3 kumbuka kuruhusu (apps from unknown sources) nenda
settings>>security>>unknown sources
kisha washa.
copy ya post Njia 3 za ku-install WhatsApp kwenye simu ya android