Makambo ameenda timu gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Aliyekuwa straika tegemeo wa Yanga, Heritier Makambo ameshatua Horoya FC ya
Guinea. Timu hiyo ilithibitisha hilo na kusema kuwa imempatia makambo mkataba wa miaka mitatu. Timu hiyo imekua ikifanya vizuri katika ligi yao ya nyumbani na ligi ya Mabinga Afrika.