Kitabu gani kimewahi kubadilisha maisha yako?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Katika maisha yetu sisi kama binadamu tunakosea kila siku na kila wakati lakini ili tujiepushe na haya yote ni vyema tukasoma na kusikiliza maandiko ya aliyetuweka hapa duniani kwasababu yeye ndo anayeijua kesho yetu wala hakuna binadamu anayeweza kuijuia kesho yake, hivyo basi kwa ufupi kabisa “KITABU PEKEE KINACHOWEZA KUBADILISHA MAISHA YETU SIO KINGINE BALI NI KILE TULICHOANDIKIWA NA YULE ALIYETUUMBA SISI WANADAMU” kufuatana na imani yako.
Ahsante……..
Kwa wale wapenzi wa vitabu vilivyoandikwa katika lugha ya kiingereza naweza kupendekeza vitabu vitano(5) vinavyoweza kubadilisha maisha au kubadilisha kitu ndani ya maisha yako.
Kitabu pekee ambacho kimebadilisha maisha yangu ni kitabu kitakatifu ambacho kinafaamika kwajina liitwalo Biblia.Kitabu hiki kinaweza kuonekena kama ni kikwazo kwa baadhi ya watu likini ni kitabu ambacho mwongozo wa mtu umeandikwa mule ila pia kuna vitabu mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku kinachotakiwa na wewe na imani yako kama mwanadamu uvisome ila vitabu vizuri zaidi ni vile vitabu vya kiroho kama vile kitabu cha Quran na Biblia hivyo ndo vitabu vizuri zaidi vinavyoweza kuyabadilisha maisha yangu na yako.kwamaelezo ni follow facebook user name Erick mlay.