COVID-19 ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
COVID 19 ni kifupi cha maneno Corona Virus Disease ni kirusi kinachosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu kilicho sambaa kwa kasi mwaka 2019 na kuathiri binadamu
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppFred Moshi
COVID-19 ni kifupi cha naneno COrona VIrus Disease 2019. Covid 19 ni jina lilitoewa na WHO kwa ajili ya virusi vya korona vilivyolipuka kipindi hiki. Virusi vya corona au Corona virus ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama (mamalia na ndege) lakini pia kwa binadamu. Inaaminiwa ni aina ya virusi vilivyohama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia.