Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kuwasiliana na TRA?
Salim Jumbe
Wasiliana na TRA kwa njia hizi Msimbo wa Posta : 28 Edward Sokoine Drive, 11105 Mchafukoge, Ilala CBD, S.L.P 11491, Dar es salaam, Tanzania Simu:+255 22 2119591-4 Kituo cha huduma kwa Wateja Tafadhali piga simu kwa maswali, malalamiko na maoni. Wateja wote wa TRA wanahamasishwa kutumia huduma hiziRead more
Wasiliana na TRA kwa njia hizi
Msimbo wa Posta : 28 Edward Sokoine Drive, 11105 Mchafukoge, Ilala CBD, S.L.P 11491, Dar es salaam, Tanzania
Simu:+255 22 2119591-4
Kituo cha huduma kwa Wateja
Tafadhali piga simu kwa maswali, malalamiko na maoni. Wateja wote wa TRA wanahamasishwa kutumia huduma hizi popote pale walipo.
Simu za Tanzania zitakuwa bure:
0800 750 075
0800 780 078
Muda wa kazi Kituoni utakuwa kuanzia Saa 02:00 Asubuhi mpaka 01:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki Jumatatu hadi Ijumaa isipokuwa siku za sikukuu.
Ofisi za TRA za Mkoa
Tafuta taarifa zote za mawasiliano kwa ofisi za mikoani hapa.
Dar es salaam, Tanzania
Phone: 0800 750075 (Vodacom )
Arusha, Tanzania
Phone: +255 27 2502946
Kibaha
Phone: +255 23 240 2905
Dar es salaam
Phone: +255 22 2771846
Dar es salaam
Phone: +255 22 2185545
Dar es salaam
Phone: +255 22 2861122
Mwanza
Phone: +255 28 2500906
Phone: +255 27 2642200
Moshi
Phone: +255 27 2753268
Tabora
Phone: +255 26 2604609
Sumbawanga
Phone: +255 25 2801089
Songea
Phone: +255 25 2602140
Shinyanga
Phone: +255 28 2762385
Singida
Phone: +255 26 2502320
Mtwara
Phone: +255 23 2333662
Mbeya
Phone: +255 25 2502165
Musoma
Phone: +255 28 2622551
Babati
Phone: +255 27 2531006
Lindi
Phone: +255 23 2202662
Kigoma
Phone: +255 28 2802054
Bukoba
Phone: +255 28 2220390
Iringa
Phone: +255 26 270144
Morogoro
Phone: +255 23 261 4192
Dodoma
Phone: +255 26 232 2912
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kuwasiliana na customer care wa Azam TV
Salim Jumbe
Wasiliana nao kupitia namba 0764700222, 0784108000 or 022 550 8080. Unaweza pia kutuma SMS za kawaida au WhatsApp kupitia namba 0788678797 au email info@azam-media.com
Wasiliana nao kupitia namba 0764700222, 0784108000 or 022 550 8080. Unaweza pia kutuma SMS za kawaida au WhatsApp kupitia namba 0788678797 au email info@azam-media.com
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNifungue akaunti ya aina gani NMB kwa ajili ya kuweka akiba?
Salim Jumbe
Angalia aina ya akaunti na kiwango cha kufungulia akaunti alafu chagua inayokufaa Aina ya Akaunti Kiwango cha kufungulia Makato ya mwezi NMB Bonus Account 50,000 BURE NMB Mtoto Akaunti 5,000 BURE NMB Pamoja Account 30,000 BURE NMB Chipukizi Akaunti 2,000 BURE
Angalia aina ya akaunti na kiwango cha kufungulia akaunti alafu chagua inayokufaa
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKozi zinazotambuliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni zipi?
Salim Jumbe
Bachelor of Commerce (Accounting) – University of Dar es Salaam Advanced Diploma in Certified Accountancy (ADCA); Bachelor of Accounting and Finance (BAF); Bachelor of Public Sector Accounting & Investigations (B.PSAI) – Mzumbe University Advanced Diploma in Accountancy (ADA); Bachelor of AccounRead more
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNi masharti na vigezo gani vya kujiunga na mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)
Salim Jumbe
Masharti ya kujiunga (a) ACCOUNTING TECHNICIAN (i) Mitihani ya Accounting Technicia Level 1 Mtahiniwa mtarajiwa nayebakia kujisajili kwa ajili ya mitihani ya accounting technician Level 1 ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na moja wapo ya sifa zifuatazo: 1. Cheti cha mtihani wa elimu ya SekondariRead more
Masharti ya kujiunga
(a) ACCOUNTING TECHNICIAN
(i) Mitihani ya Accounting Technicia Level 1
Mtahiniwa mtarajiwa nayebakia kujisajili kwa ajili ya mitihani ya accounting technician Level 1 ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na moja wapo ya sifa zifuatazo:
1. Cheti cha mtihani wa elimu ya Sekondari (CSEE) chenye angalau ufaulu wa crediti tatu na kufaulu Hisabati na Lugha ya Kiingereza
AU
2. Mitihani ya Taifa ya Biashara NABE stage ii na angalau ufaulu wa masomo manne na cheti cha elimu ya Sekondari
AU
3. Advanced Certificate of Secondari Education Examination (ACSEE) yenye angalau ufaulu wa primary katika somo moja na subsidiary katika masomo yanayohusika, lakini ni lazima wafaulu angalau katika Kiingereza na Hisabati, O-Level Secondary Education,
AU
4. Cheti cha mwaka mmoja kutoka taasisi inayotambulika na ufaulu wa Kiingereza na hisabati “O” level kabla ya kupata cheti hicho.
5. Na vyeti vingine kama vitakavyotambuliwa na Bodi kila baada ya muda
ii) Mitihani ya Accounting Technician II
Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya Accounting Techinician ni lazima aoneshe, uthibitisho wa kuwa na moja wapo ya sifa zifuatazo
b) PROFESSIONAL EXAMINATIONS
Mtahiniwa mtarajiwa anayetaka kujisajili kwa ajili ya mitihani ya PROFESSIONAL ni lazima aoneshe uthibitisho wa kuwa na mojawapo ya sifa zifuatazo:
(I) Foundation Level – Knowledge and Skills Level
Misamaha inaweza kufikiriwa somo kwa somo kutegemea masomo ya mtahiniwa.
(II) Intermediate Level – skills and Analysis
(III) Final – Level – Analysis, Application na Evaluation
1.Mwenye Taarifa ya ufaulu ya NBAA Intermediate Level
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKing’amuzi cha Azam Tv kinauzwa bei gani?
Salim Jumbe
Package nzima ya king’amuzi cha Azam Tv inapatikana kwa Tshs. 135,000 na gharama ya kufunga ni Tshs. 30,000
Package nzima ya king’amuzi cha Azam Tv inapatikana kwa Tshs. 135,000 na gharama ya kufunga ni Tshs. 30,000
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNifungue akaunti ya aina gani katika benki ya NMB?
Salim Jumbe
Kuna aina nyingi za akaunti katika benki ya NMB nyingine hazina makato ya mwezi na nyingine hazihitaji kuwa na hela ya kuanzia wakati wa kufungua. Unaweza kuchagua aina ya akaunti kwa kupitia jedwali lililopo hapa chini. Aina za account – NMB Akaunti Kiasi cha kufungua akaunti Makato ya mwezi NMB PeRead more
Kuna aina nyingi za akaunti katika benki ya NMB nyingine hazina makato ya mwezi na nyingine hazihitaji kuwa na hela ya kuanzia wakati wa kufungua. Unaweza kuchagua aina ya akaunti kwa kupitia jedwali lililopo hapa chini.
Aina za account – NMB
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNi mitihani gani inayoendeshwa na NBAA?
Salim Jumbe
NBAA inaendesha mitihani katika ngazi mbili za kitaaluma; Mitihani kwa ajili ya Cheti cha Uandishi na Utunzaji Vitabu vya Hesabu Ngazi ya I & II (Accounting Technician Examinations – ATEC Level I & II) yenye masomo manne manne kila ngazi na Mitihani ya Kitaaluma ya Uhasibu – Professional ExaRead more
NBAA inaendesha mitihani katika ngazi mbili za kitaaluma;
Mitihani ya ATEC iko katika ngazi mbili ;
Mitihani ya CPA iko katika hatua tatu ;
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaMasharti ya kujiunga kufanya mitihani ya ATEC I ni yapi?
Salim Jumbe
Masharti ya kujiunga katika mitihani ya ATEC ni kuwa na cheti cha kumaliza elimu ya Sekondari na kufaulu vizuri (credit) masomo yasiyopungua matatu (3) na kufaulu (pass grade) masomo mawili (2) ikiwemo Kiingereza na Hisabati. AU cheti cha kumaliza elimu ya sekondari kidato cha sita (VI) na kufaulu mRead more
Masharti ya kujiunga katika mitihani ya ATEC ni kuwa na cheti cha kumaliza elimu ya Sekondari na kufaulu vizuri (credit) masomo yasiyopungua matatu (3) na kufaulu (pass grade) masomo mawili (2) ikiwemo Kiingereza na Hisabati.
AU cheti cha kumaliza elimu ya sekondari kidato cha sita (VI) na kufaulu masomo makuu mawili au moja na somo la ziada, alimradi uwe umefaulu Hisabati katika Elimu ya Sekondari ya Kidato cha nne (IV) angalau kwa alama ya D.
AU Cheti cha mwaka mmoja kutoka chuo kinachotambulika pamoja na ufaulu wa alama ya D au zaidi katika masomo ya Kiingereza na Hisabati katika cheti cha kidato cha nne
AU Vyeti vingine ambavyo vitakavyoendelea kutambuliwa na Bodi wakati kwa wakati.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaJe nikiwa sina masomo matatu niliyofaulu vizuri (credit) katika elimu ya Sekondari, lakini napenda kujiunga katika fani ya uhasibu, nifanye nini?
Salim Jumbe
Kuna vyeti vingine vinavyotambuliwa na NBAA (BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA) : kama cheti cha NABE hatua ya II na kufaulu masomo yasiyopungua manne uliyofaulu vizuri (passes grade) pamoja na cheti cha kidato cha nne(IV). Au Barua ya Matokeo ya Hatua ya Msingi ikionyesha kuwRead more
Kuna vyeti vingine vinavyotambuliwa na NBAA (BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA) : kama cheti cha NABE hatua ya II na kufaulu masomo yasiyopungua manne uliyofaulu vizuri (passes grade) pamoja na cheti cha kidato cha nne(IV).
Au Barua ya Matokeo ya Hatua ya Msingi ikionyesha kuwa umefaulu mtihani huo ambao unaendeshwa na Bodi ya Taifa ya Usimamizi wa Vifaa.
Zaidi ya hayo ni lazima uwe umemaliza elimu ya Sekondari ikionyesha masomo uliyofanya na kufaulu.
See less