Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Maana ya jina Ivan ni nini?
Maana ya jina Ivan ni "Mungu ni mwenye neema"
Maana ya jina Ivan ni “Mungu ni mwenye neema”
See lessNini maana ya jina Irene?
Maana ya jina Irene ni "AMANI"
Maana ya jina Irene ni “AMANI”
See lessNani aliandika kitabu cha Zaburi?
Aliyeandika kitabu cha zaburi ni Mfalme Daudi wa Israeli
Aliyeandika kitabu cha zaburi ni Mfalme Daudi wa Israeli
See lessMaana ya ada ni nini?
Ada ni bei ambayo mtu hulipa kama malipo kwa haki au huduma
Ada ni bei ambayo mtu hulipa kama malipo kwa haki au huduma
See lessNini maana ya hisa?
Hisa ni ni kitengo kinachotumika kama fedha za kitengo fulani, ushirikiano mdogo, na amana za uwekezaji wa mali isiyohamishika
Hisa ni ni kitengo kinachotumika kama fedha za kitengo fulani, ushirikiano mdogo, na amana za uwekezaji wa mali isiyohamishika
See lessNini maana ya dini?
Maana halisi ya neno Dini ni mfumo wa kitamaduni na kijamii wa tabia na mazoea yaliyotengwa, maadili, mtazamo wa ulimwengu, maandiko, sehemu zilizotakaswa, unabii, maadili, au mashirika, ambayo yanahusiana na ubinadamu kwa mambo ya kimbingu ambayo huusisa elimu ya kimwili na kiroho

See lessMaana ya bima ni nini?
Maana halisi ya neno Bima ni njia ya kujikinga na upotezaji wa kifedha katika nyanja tofauti tofauti
Maana halisi ya neno Bima ni njia ya kujikinga na upotezaji wa kifedha katika nyanja tofauti tofauti
See lessPesa ya Oman ina thamani gani Tanzania?
Pesa ya Oman inaitwa Omani Rial. 1 Omani rial=6005.34 Tanzanian Shillings
Pesa ya Oman inaitwa Omani Rial.
1 Omani rial=6005.34 Tanzanian Shillings
See lessOfisi za Sportpesa ziko wapi?
Sportpesa ni kampuni ya kubashiri ambayo akao makuu yake ni Livepool iliopo England
Sportpesa ni kampuni ya kubashiri ambayo akao makuu yake ni Livepool iliopo England
See lessKirefu cha CV ni nini?
CV inasimama baadala ya neno "Curriculum Vitae" ikiwa na taarifa mbalimbali kama vile vyeo,viwango vya elimu nk
CV inasimama baadala ya neno “Curriculum Vitae” ikiwa na taarifa mbalimbali kama vile vyeo,viwango vya elimu nk
See less