Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mugabe Abraham

New
4
0Questions
Home» Mugabe Abraham»Majibu
Adv
  • Wasifu
  • Maswali
  • Majibu
  1. Asked: December 14, 2019Forex

    Forex ni biashara gani?

    Mugabe Abraham

    Mugabe Abraham

    • Tanzania
    • 0 Questions
    • 4 Answers
    • 0 Best Answers
    • 31 Points
    View Profile
    Mugabe Abraham New
    Added an answer on December 14, 2019 at 10:11 am

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange, hii ni biashara inayodili na ubadilishaji wa fedha za kigeni, na pia kuna bidhaa mbalimbali  kama vile sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua au ukauza Euro(EUR dhidi ya Dolla ya Canada(CAD).>>EURCAD.

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange, hii ni biashara inayodili na ubadilishaji wa fedha za kigeni, na pia kuna bidhaa mbalimbali  kama vile sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua au ukauza Euro(EUR dhidi ya Dolla ya Canada(CAD).>>EURCAD.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Asked: December 14, 2019Forex

    Forex ni nini?

    Mugabe Abraham

    Mugabe Abraham

    • Tanzania
    • 0 Questions
    • 4 Answers
    • 0 Best Answers
    • 31 Points
    View Profile
    Mugabe Abraham New
    Added an answer on December 14, 2019 at 10:00 am

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange  (ubadilishaji wa fedha za kigeni)

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange  (ubadilishaji wa fedha za kigeni)

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Asked: December 14, 2019Forex

    Forex ni utapeli?

    Mugabe Abraham

    Mugabe Abraham

    • Tanzania
    • 0 Questions
    • 4 Answers
    • 0 Best Answers
    • 31 Points
    View Profile
    Mugabe Abraham New
    Added an answer on December 14, 2019 at 9:56 am

    HAPANA, FOREX sio utapeli ni biashara kama biashara nyingine. Lakini Forex inadili zaidi na ubadilishaji wa fedha za kigeni( FOREIGN EXCHANGE  au tumezoea kuziita BUREAU DE CHANGE).

    HAPANA, FOREX sio utapeli ni biashara kama biashara nyingine. Lakini Forex inadili zaidi na ubadilishaji wa fedha za kigeni( FOREIGN EXCHANGE  au tumezoea kuziita BUREAU DE CHANGE).

    See less
    • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  7. Asked: October 27, 2019Forex

    Nawezaje kutumia forex kuingiza hela?

    Mugabe Abraham

    Mugabe Abraham

    • Tanzania
    • 0 Questions
    • 4 Answers
    • 0 Best Answers
    • 31 Points
    View Profile
    Mugabe Abraham New
    Added an answer on December 14, 2019 at 9:42 am

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange  (ubadilishaji wa fedha za kigeni). Zimechukuliwa herufi tatu za mwanzo kwenye neno FOREIGN  na herufi mbili za mwanzo kwenye neno EXCHANGE  (FOREX). Forex ni soko kubwa na ambalo linakua kwa kasi duniani. Mzunguko wake wa siku ni zaidi ya dola trillion tano ($5Read more

    FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange  (ubadilishaji wa fedha za kigeni). Zimechukuliwa herufi tatu za mwanzo kwenye neno FOREIGN  na herufi mbili za mwanzo kwenye neno EXCHANGE  (FOREX).

    Forex ni soko kubwa na ambalo linakua kwa kasi duniani. Mzunguko wake wa siku ni zaidi ya dola trillion tano ($5 Trillion) za kimarekani ambayo ni kiasi kikubwa kuliko soko lolote duniani,mfano wa masoko makubwa duniani ni NEW YORK STOCK MARKET(MAREKANI), TOKYO(JAPANI), FRANKFURT MARKET(UJERUMANI)  , SYDNEY MARKET(AUSTRALIA) , LONDON MARKET(UINGEREZA) NA HONG KONG MARKET(CHINA). Wahusika kwenye soko hili ni benki kuu na mabenki ya kibiashara, Corporations, taasisi za uwekezaji, Hedge funds na watu wa kawaida kama wewe.

    Soko ni sehemu ambalo bidhaa zinauzwa. Pia hata kwenye Forex kuna bidhaa kama vile sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua au ukauza Euro(EUR) dhidi ya dolla(USD) ya marekani na ukapata faida. Yako mambo mengine mengi kwenye soko letu hili la FOREX yenye faida kama utaweza kuyafatilia na kuyajua kwa undani

    See less
    • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.