Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Dalili gani zinaweza kunionesha kuwa nimekua mtu mzima tayari?
Lameck Alen
Asante sana Paulo
Asante sana Paulo
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaDalili gani zinaweza kunionesha kuwa nimekua mtu mzima tayari?
Lameck Alen
Unaona kulala ni bora kuliko mitoko ya usiku Unasamehe zaidi Unaheshimu vitu viliyo tofauti Haulazimishi mapenzi Hauwasemi wengine Saa nyingine unaamua kuwa kimya kuliko kujiingiza kwenye ugomvi Furaha yako haitegemei watu wengine bali wewe mwenyewe
Unaona kulala ni bora kuliko mitoko ya usiku
Unasamehe zaidi
Unaheshimu vitu viliyo tofauti
Haulazimishi mapenzi
Hauwasemi wengine
Saa nyingine unaamua kuwa kimya kuliko kujiingiza kwenye ugomvi
Furaha yako haitegemei watu wengine bali wewe mwenyewe
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaMambo gani ambayo yanaweza kunisaidia siku moja?
Lameck Alen
Msikilize vizuri jinsi mtu anavyowaongelea watu wengine ukiwa nae. Hiyo inaweza kuonesha jinsi anavyokuongelea kwa watu wengine. Kwa kawaida mtu huwa anachezesha sana mikono wakati anelezea stori ya kweli. Akiwa anasema uongo mikono inakua imetulia. Wanawake huwa wanapenda wanaume wanaowafanya wacheRead more
Msikilize vizuri jinsi mtu anavyowaongelea watu wengine ukiwa nae. Hiyo inaweza kuonesha jinsi anavyokuongelea kwa watu wengine.
Kwa kawaida mtu huwa anachezesha sana mikono wakati anelezea stori ya kweli. Akiwa anasema uongo mikono inakua imetulia.
Wanawake huwa wanapenda wanaume wanaowafanya wacheke, hii tabia inamfanya mtu kuwa na mvuto zaidi.
Kama unakohoa sana, nyanyua mikono yako juu ya kichwa chako tatizo hilo litakwisha.
Njia rahisi ya kumfanya mtu aseme ukweli wote. Endelea kunyamaza, atajielezea mwenyewe.
Kujua kama betri ziko vizuri, zidondoshe kwenye sakafu. Kama zikidunda ziko vizuri, kama zikidunda zaidi ya mara moja basi zimeisha.
Waza kama upo na mtu unayempenda wakati wa kupiga picha. Itakupa tabasamu halisi.
Ukiweka yai kwenye maji, likielea ujue sio zima. Kama likizama basi liko vizuri.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaMambo gani ambayo kuyafanya ni sawa na kupoteza muda tu?
Lameck Alen
Kuwa katika mahusiano kwa sababu unajihisi mpweke Kujaribu katatua matatizo ya kila mtu Kujaribu kushinda kila ukibishana na mtu Kufanya kitu ili kuwafurahisha wazazi huku wewe ukiwa huna furaha Kulalamikia jambo ambalo ungeweza kuwa ushalifanyia kazi Kujaribu kumfanya mtu ambaye hana interest na weRead more
Kuwa katika mahusiano kwa sababu unajihisi mpweke
Kujaribu katatua matatizo ya kila mtu
Kujaribu kushinda kila ukibishana na mtu
Kufanya kitu ili kuwafurahisha wazazi huku wewe ukiwa huna furaha
Kulalamikia jambo ambalo ungeweza kuwa ushalifanyia kazi
Kujaribu kumfanya mtu ambaye hana interest na wewe akupende