Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kufunga tai?
Fred Moshi

See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaTende zina faida gani katika mwili wa binadamu?
Fred Moshi
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako: 1. Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora! 2. Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa aRead more
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:
1. Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora!
2. Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madini mengi ya chuma.
3. Hupunguza uwezekano wa kupata Kiharusi (stroke) kwani hazina cholesterol kabisa! Pia zina vitamini na madini kwa wingi.
4. Huongeza uwezo wa Kujamiiana kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha nguvu
5. Hupunguza madhara ya pombe mwilini na kurudisha afya ya mtu.
6. Zina kiasi kikubwa cha kamba kamba ambazo hufanya mtu apate choo kirahisi na laini.
7. Licha ya kuwa tamu, tende haziongezi kiwango cha sukari mwilini, hivyo zinaweza kutumika kama mbadala wa sukari
8. Huimarisha Mifupa na kuondoa maumivu ya mara kwa mara ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya chuma na potassium kwa wingi.
9. Tende ina msaada mkubwa kwa mama mjamzito, humuongeza nguvu, na hazina madhara kiafya kwa mtoto. Pia husaidia kupata uzazi salama
10. Ulaji wa tende kwa wingi husaidia kuongeza mwili kwa wale waliokonda kupita kiasi. Hivyo hushauriwi kula tende kupita kiasi kama huhitaji kuongeza mwili.
chanzo Jamiiforums
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKupiga punyeto kuna madhara?
Fred Moshi
Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo nimeyapata kwa madaktari wasiotetea upigaji punyeto 1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME: Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwaRead more
Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo nimeyapata kwa madaktari wasiotetea upigaji punyeto
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:
Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.
2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
See lessMara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.
Athari nyingine ni kama zifuatazo
3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
6.Maumivu ya kende / Groin / Testicular Pain
7.Maumivu ya kiuno / Pain / cramp in the pelvic cavity or/and tail bone
Hizo ni baadhi ya nukuu zangu!
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNi namna gani ya kuwateketeza kunguni na chawa ndani ya nyumba bila kutumia dawa za kisasa?
Fred Moshi
Kunguni wanaweza kumsumbua mtu yeyote. Ni rahisi kuwadhibiti ukitambua mapema kwamba wapo. Kwa hiyo, jifunze kutambua ishara za kwamba wapo nyumbani na unaposafiri. Chunguza fanicha zako na vitu vingine vya mbao pamoja na mizigo, uone ikiwa kuna mayai madogo yanayofanana na mbegu ndogo nyeusi au alaRead more
Kunguni wanaweza kumsumbua mtu yeyote. Ni rahisi kuwadhibiti ukitambua mapema kwamba wapo. Kwa hiyo, jifunze kutambua ishara za kwamba wapo nyumbani na unaposafiri. Chunguza fanicha zako na vitu vingine vya mbao pamoja na mizigo, uone ikiwa kuna mayai madogo yanayofanana na mbegu ndogo nyeusi au alama za damu. Tumia tochi unapowatafuta kunguni ili uweze kuwaona.
Usiruhusu kunguni wawe na sehemu nyingi za kujificha. Ziba nyufa zote ukutani na kwenye viunzi vya milango. Ingawa kunguni hawaletwi na uchafu, itakuwa rahisi zaidi kuwatambua na kuwadhibiti ikiwa unasafisha nyumba kwa ukawaida na kupunguza vitu vilivyorundamana. Ukiwa hotelini, unaweza kupunguza uwezekano wa kubeba kunguni kwa kuepuka kuweka masanduku yako sakafuni na kitandani
Inaelezwa hivyo katika tovuti ya dw
Unaweza kuangalia video pia jinsi ya kutengeneza sumu ya kuwauua ukiwa nyumbani
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUnajua jinsi ya kuongeza hips
Fred Moshi
Kupitia Facebook kuna jamaa kaandika hivi.... Njia hii ni kupitia mazoezi ya kuongeza hips. Zidi kusoma ili uyaelewe mazoezi haya rahisi na salama kabisa ya kuongeza urembo wa makalio yako. Mazoezi ya squat Ili kuanza mazoezi haya, simama wima kwa miguu yote kisha fanya kwamba unaketi hewani. UnapofRead more
Kupitia Facebook kuna jamaa kaandika hivi….
Njia hii ni kupitia mazoezi ya kuongeza hips. Zidi kusoma ili uyaelewe mazoezi haya rahisi na salama kabisa ya kuongeza urembo wa makalio yako.
Mazoezi ya squat
Ili kuanza mazoezi haya, simama wima kwa miguu yote kisha fanya kwamba unaketi hewani. Unapofika urefu kama wa mtu aliyeketi kwenye kiti, inuka tena na kusimama wima.
Aina hii ya mazoezi huivuta misuli ya makalio na kuibana, hivyo basi kuongeza upana wake. Siku za kwanza za mazoezi, utahisi maumivu, lakini baada ya siku kadhaa, utazoea na uchungu kupotea kabisa.
Fanya mazoezi haya kwa roundi tatu kila siku. Katika kila raundi, fanya squat hizo mara kumi na tano. Unavyozidi kuyazoea mazoezi haya, ongeza squat hizo nwa idadi ya tano kila siku mpaka utakapofika squat mia mbili hamsini. Utahisi nguo zikikubana kwenye makalio, kumaanisha kuwa mazoezi yanatengeneza umbo lako.
Mazoezi ya bridge
Hali ya maisha ya siku hizi inahusisha kuketi kwingi ofisini. Hii hufanya umbo la makalio kubadilika na kuwa baya. Hii sio tisho kwani kuna zoezi la bridge ambalo litayapea makalio yako umbo la kupendeza.
Ili kulifanya, lala chini kichali, yaani kwa mgongo. Lainisha miguu kabisa na kuiweka mikono karibu na mwili. Kisha uinue kiuno chako juu mpaka uhisi kuwa umefika mwisho.
Bakia kwenye hali hii kwa muda wa sekunde kumi kisha uuinue mguu wa kulia juu kabisa. Unafaa uuone bila kuinua kichwa. Ukihisi kuwa mguu umefika mwisho, uteremshe mguu wa kulia na uuinue ule wa kushoto. Rudia zoezi hili kwa mara kumi kwa kila mguu.
Ulifanye zoezi hili kwa raundi tatu kila siku. Unaweza kuongeza idadi hii kulingana na mapenzi yako.
Mazoezi ya donkey kick
Kama jina hili linavyofanana, zoezi hili linahitaji ufanye kama punda kwa kuirusha miguu kwa nyuma. Ili kulifanya, kaa kama mnyama; usimame kwa magoti na mikono kama mnyama.
Baada ya hapo, uinue mguu wa kulia kwa nyuma na kuuweka juu kabisa kwa utaratibu. Upeleke mpaka uhisi kuwa umefika mwisho. Kisha uteremshe mguu kwa utaratibu mpaka ufike sakafuni.
Baada ya hapo, uinue mguu wa kushoto kwa njia ile ile. Fanya zoezi hili kwa raundi kama tatu huku ukiuinua kila mguu na kuurudisha chini mara ishirini.
Unaweza kuongeza idadi hii kulingana na unavyoyazoea mazoezi haya ya donkey kick. Baada ya muda, utahisi nguo zikikubana kwenye makalio, ishara kuwa mazoezi yanatenda kazi hii ya ajabu.
Mazoezi ya lunges
Zoezi la tatu linajulikana kama lunges.
Ili kulifanya, jishike kwenye kiuno. Kisha piga magoti kwa mguu mmoja. Uweke mguu ule wa pili mbele yako na ukanyage chini kama kawaida. Kisha inuka mpaka miguu yote miwili ilainike kabisa.
Fanya hivi kwa mara kumi kisha uibadilishe miguu. Fanya zoezi hili kwa mara ishirini kwa kila mguu na uende raundi kama tatu kila siku. Unaweza kuongeza idadi hii utakavyo, kulingana na unavyohisi kuzoea zoezi hili.
Mazoezi ya kupanda ngazi
Iwapo nyumba unayoishi ina ngazi (stairs), basi una bahati kubwa kwani utaweza kulifanya zoezi hili na kupata makalio bora. Utahitaji mfuko au mkoba unaobebwa kwa mgongo. Weka kitu au vitu vizito kwenye ule mkoba na uubebe mgongo. Kisha panda na kushuka zile ngazi mara mingi utakavyo.
Hakikisha kuwa kisigino kinakanyanga chini kabisa ili zoezi hili lifanye kazi kikamilifu. Rudia zoezi hili kwa mara nne kwa wiki. Iwapo hautapa ngazi nyingi za kutosha, basi chukua kiti kidogo kisicho na mgongo.
Ubebe mkoba ule na ukanyange pale juu kwa kila mguu. Kanyanga kiti kile mara hamsini. Fanya zoezi hili kwa roundi nne kila siku. Utayaona matokeo baada ya wiki kama mbili.
Mazoezi ya step-ups
Zoezi hili la step-ups litatumia kiti kidogo ambacho uitumia kwenye zoezi hili hapo juu. Hata hivyo, unahimizwa kukitumia kiti chenye nguvu na kisichosongasonga unapopanda juu. Ukiweza, tafuta ubao na uwekwe miguu iliyoingizwa ardhini kama viti vya kujiundia.
Baada ya hapo, simama mbele ya kiti kile. Inua mguu wako wa kulia na uuwekelee pale juu ya kile kiti. Hakikisha umeuweka vyema kabisa ili usianguke utakapopanda juu.
Baada ya hapo, jiiunue kutoka chini ukitumia mguu wa kulia (uliowekelea juu ya kiti au ubao). Usijisukume kwa mguu uliotulia kwenye sakafu.
Ukifika juu, teremka tena na uuwache mguu wa kulia pale juu. Kisha uuteremshe na kurudia zoezi hili ukitumia mguu huo huo. Rudia mara kumi na mbili kisha badilisha mguu.
Fanya raundi tatu kila siku. Iwapo utaweza kuubeba mfuko wenye uzito kiasi, utaongeza matokea ya zoezi hili.
Mazoezi ya side kick
Zoezi la mwisho kabisa linajulikana kama side kick.
Ili kulifanya, simama wima, mikono kwenye makalio na miguu ikiachana kwa kiasi tu. Yaani pawe na mwanya katikati ya viatu. Ukiwa umesimama hivyo, uinue mguu wa kulia kwa upande wan je.
Ukunjue kabisa bila kuukunja ule wa kushoto. Hesabu 1 mpaka 3 kisha uurudishe polepole kwenye sakafu. Fanya hivi mara kumi na tano, kisha ubadilishe mguu. Fanya zoezi hili kwa raundi tatu kila siku.
Maarifa ya ziada: kula vyema
Iwapo unataka mazoezi haya yakusaidie, itabidi ule vyakula ambavyo hujenga mwili. Hivyo basi, itabidi uanze kula protini kwa wingi.
Protini ni chakula muhimu cha kujenga mifupa na misuli. Vyakule vyenye protini ni kama karanga, nyama, maharage, samaki, korosho, maziwa na vinginevyo.
Pili, usile vyakula vya mikaango kwa wingi. Vyakula hivyo ni kama vile maandazi, chapatti na viazi (chips). Vyakula hivi vitakupa kitambi na kujaza mafuta kwenye umbo la makalio, hivyo kuliharibu.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaDawa ya jino ni nini?
Fred Moshi
Mahitaji 1.? Mafuta ya karafuu/clove oil. 2.? mafuta ya Nazi/coconut oil. 3.? Kitunguu maji. 4.? Kitunguu swaum. 5.? Pilipili manga. 6.?Chumvi ya mawe/unga wake MAANDALIZI Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuRead more
Mahitaji
1.? Mafuta ya karafuu/clove oil.
2.? mafuta ya Nazi/coconut oil.
3.? Kitunguu maji.
4.? Kitunguu swaum.
5.? Pilipili manga.
6.?Chumvi ya mawe/unga wake
MAANDALIZI
Ponda ponda Kitunguu maji,Kitunguu swaumu,chumvi ya mawe na pilipili manga kisha changanya na mafuta na Nazi na mafuta ya karafuu kwa kiasi kidogo (robo kijiko kidogo cha chai) kisha chukua mchanganyiko huu kisha uweke juani kwa muda wa dakika 15 kisha toa juani.
MATUMIZI
1.ikiwa jino lina tundu
chukua uji uji wa mchanganyiko huu kisha weka katika tundu na mafuta yake yapakaae pembezoni mwa jino linalouma.
2.ikiwa jino halina tundu
pakaa mafuta ya mchanganyiko huu pembezoni kulizunguka jino linalouma
Tumia dawa hii kutwa mara tatu kwa muda wa siku tatu jino lako litakuwa limepona kabsaa
KUMBUKA:
? Dawa hii inamatokeo ya haraka sana ambapo unaweza kutumia papo hapo jino likapoa,hivyo hakikisha unamaliza dozi kwa muda ulioelekezwa.
? Jiepushe na kunywa vinywaji vya moto sana au vya barid sana mpaka umalize dozi kwa muda uliopangwa.
Chanzo : zenjishoppazz.com
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUgonjwa wa korona ni nini?
Fred Moshi
Ugonjwa wa Korona ni ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi kinachoitwa korona. Jina maalum kwa ajili ya ugonjwa huu unaosumbua sahivi ni COVID19. COVID-19 ni kifupi cha naneno COrona VIrus Disease 2019. Covid 19 ni jina lilitoewa na WHO kwa ajili ya virusi vya korona vilivyolipuka kipinRead more
Ugonjwa wa Korona ni ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi kinachoitwa korona. Jina maalum kwa ajili ya ugonjwa huu unaosumbua sahivi ni COVID19. COVID-19 ni kifupi cha naneno COrona VIrus Disease 2019. Covid 19 ni jina lilitoewa na WHO kwa ajili ya virusi vya korona vilivyolipuka kipindi hiki.
Virusi vya corona au Corona virus ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama (mamalia na ndege) lakini pia kwa binadamu. Inaaminiwa ni aina ya virusi vilivyohama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaCOVID-19 ni nini?
Fred Moshi
COVID-19 ni kifupi cha naneno COrona VIrus Disease 2019. Covid 19 ni jina lilitoewa na WHO kwa ajili ya virusi vya korona vilivyolipuka kipindi hiki. Virusi vya corona au Corona virus ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama (mamalia na ndege) lakini pia kwa binadamu. InaaminiRead more
COVID-19 ni kifupi cha naneno COrona VIrus Disease 2019. Covid 19 ni jina lilitoewa na WHO kwa ajili ya virusi vya korona vilivyolipuka kipindi hiki. Virusi vya corona au Corona virus ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama (mamalia na ndege) lakini pia kwa binadamu. Inaaminiwa ni aina ya virusi vilivyohama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaCorona virus inatibika?
Fred Moshi
Mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa kutibu ugonjwa huu mpya. Dawa iliyoagizwa kutoka Madagascar inasubiri vipimo vya majaribio kuangalia kama inaweza kufanya kazi. Cha kuzingatia Kama umeambukizwa ni kupumzika, kunywa maji mengi na kula vyakula vyenye virutubisho. Unapaswa kujitenga na kusafishRead more
Mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa kutibu ugonjwa huu mpya. Dawa iliyoagizwa kutoka Madagascar inasubiri vipimo vya majaribio kuangalia kama inaweza kufanya kazi.
Cha kuzingatia
See lessKama umeambukizwa ni kupumzika, kunywa maji mengi na kula vyakula vyenye virutubisho. Unapaswa kujitenga na kusafisha sehemu zinazoguswa mara kwa mara.
Kila mtu anapaswa kujali afya yake akiwa nyumbani, kula vizuri na kuwasiliana na ndugu na marafiki kwa kutumia simu na mitandao ili kupunguza mikutano na mikusanyiko.
Tafsiri imetoka WHO
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kujikinga na ugonjwa wa corona virus?
Fred Moshi
Zingatia haya Nawa vizuri na kila wakati mikono yako kwa maji ya vuguvugu, sabuni au dawa za kuua vijijidudu kwa angalau sekunde 20. Kaa umbali wa angalau hatua mbili (2) kutoka mtu anayepiga chafya au kukohoa. Epuka kushika macho, pua na mdomo kwa mikono isiyo safi kwa sababu mikono hushika sehemuRead more
Zingatia haya