Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Mishono gani simple ya vitenge uliyowahi kuiona?
Flora Jumanne
Credit : jollyannie7.blogspot.com
Credit : jollyannie7.blogspot.com
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaElimu ni nini?
Flora Jumanne
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. wikipedia
Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine.
wikipedia
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNini maana ya insha?
Flora Jumanne
Insha ni utunzi wa mfuatano wa tungo zenye mtiririko unaoelezea kuhusu mada fulani. Hutumika zaidi shuleni ili kumzoesha mwanafunzi kujieleza kwa maandishi. Kuna aina mbili za insha, nazo ni: 1. Insha za kisanaa. 2. Insha zisizo za kisanaa. Kimuundo insha imegawanyika katika sehemu kuu nne: kichwa cRead more
Insha ni utunzi wa mfuatano wa tungo zenye mtiririko unaoelezea kuhusu mada fulani. Hutumika zaidi shuleni ili kumzoesha mwanafunzi kujieleza kwa maandishi.
Kuna aina mbili za insha, nazo ni:
Kimuundo insha imegawanyika katika sehemu kuu nne:
chanzo – wikipedia
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKarafuu ni nini?
Flora Jumanne
Karafuu ni nini? ni zao linalotokana na mkarafuu. Zao hili halimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu kwa maisha ya binadamu. Zao hili lina matumizi mengi, ambapo hutumika kama kiungo katika vyakula na vinywaji, dawa kwa maradhi ya tumbo, meno na misuli vile vile hRead more
Karafuu ni nini? ni zao linalotokana na mkarafuu. Zao hili halimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu kwa maisha ya binadamu.
Zao hili lina matumizi mengi, ambapo hutumika kama kiungo katika vyakula na vinywaji, dawa kwa maradhi ya tumbo, meno na misuli vile vile hutumika katika kuleta harufu nzuri ya kinywa, mwili na mazingira ya nyumbani.
Pia hutumika katika uzalishaji wa bidhaa nyingine ikiwamo sigara, mafuta ya karafuu ambayo hutumika kwa kuchulia misuli inayouma, kutengeneza dawa za meno na manukato.
Karafuu hutumika kwenye vyakula mbalimbali ikiwamo nyama, biriani, pilau, mchuzi wa masalo na vyakula vikavu kama vile vileja, beskuti na donat na kwa upande wa vinywaji karafuu hutumika katika chai na maziwa.
wataalamu wanasema kuwa karafuu husaidia usagaji mzuri wa chakula tumboni na ni nzuri kwa matibabu ya maumivu ya tumbo, tumbo kujaa gesi na kiungulia. Hivyo, ni miongoni mwa kiungo muhimu katika vyakula kutokana na vinasaba vya aina ya eugnol vilivyomo ndani yake.
Aidha, hutumika katika utengenezaji wa mafuta ambayo husaidia kusafisha damu. Tafiti zinaonyesha kuwa vinasaba vilivyomo katika karafuu vinapunguza sumu katika damu na kusaidia mzunguko mzuri wa damu.
Pia karafuu hutumika katika viwanda kwa ajili ya kutengezea dawa za meno kwa ajili ya kutunza meno na kuondosha maumivu ya meno na fidhi, kung’arisha meno na kuleta harufu nzuri ya kinywa, harufu iliyomo katika karafuu husaidia kuondoa harufu mbaya mdomoni.
Karafuu pia inatajwa kusadia kutibu vidonda vya mdomo na kuimarisha afya ya fizi pamoja na kuzuia meno kuoza.
Madaktari wa meno wamekuwa wakitumia mafuta ya karafuu kwa ajili ya kutibu matatizo ya meno, hii ni kwa sababu mafuta hayo yamekusanya vinasaba vya eugnol ambavyo ni vizuri kwa meno na fidhi.
Karafuu inatumika katika urembo… wanawake hupenda kusugulia mwili (scrub) kwa kuchanganya unga wa karafuu kavu iliyosagwa na mafuta ya nazi na liwa ambapo husuguliwa mwili mzima kwa ajili ya kuondoa uchafu na kuufanya mwili kuwa nyororo.
Sabuni zinazotengenezwa kwa karafuu huondoa harara, vipele na chunusi na hivyo kuifanya ngozi iwe nyororo na yenye kuvutia.
Matumizi ya karafuu na mafuta yake humfanya mtu kuwa mchangamfu… humwondolea uchovu kwa vile karafuu inaiweka akili katika hali nzuri nakufanya ubongo ufanye kazi vizuri. Pia husadia kuondoa matatizo ya kusinzia, kupoteza kumbukumbu na wasiwasi.
Mafuta ya karafuu yanapochanganywa na chumvi, husaidia kuondosha maumivu ya kichwa, matatizo katika mfumo wa upumuaji, kusafisha koo na hutibu kikohozi, mafua na pumu.
chanzo: Mtanzania blog
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNani anaweza kusajili kifo kwa msajili wa vizazi na vifo?
Flora Jumanne
Mwenye jukumu la kusajili kifo ni Daktari, ndugu wa karibu wa marehemu aliyekuwepo wakati wa kifo. Mtu aliyemhudumia wakati wake wa mwisho wa ugonjwa. Mwenye nyumba. Mpangaji. Mtu yeyote aliyechukua jukumu la maziko ya marehemu.
Mwenye jukumu la kusajili kifo ni
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNifanyeje kama nataka kutembelea hifadhi za taifa au mbuga za wanyama?
Flora Jumanne
Kitu cha kwanza inabidi uamue ni hifadhi gani unahitaji kutembelea baada ya kuzifuatilia zote. Kupanda Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru unapaswa kuwa ama kupitia kampuni ya kuongoza watalii. Kampuni ya kuongoza watalii itakuongoza katika kila kitu muhimu katika kupanda mlima, na unapaswa kuzingatia kRead more
Kitu cha kwanza inabidi uamue ni hifadhi gani unahitaji kutembelea baada ya kuzifuatilia zote. Kupanda Mlima Kilimanjaro na Mlima Meru unapaswa kuwa ama kupitia kampuni ya kuongoza watalii. Kampuni ya kuongoza watalii itakuongoza katika kila kitu muhimu katika kupanda mlima, na unapaswa kuzingatia kampuni zilizosajiliwa kwenye kupandisha watu milimani.
Hifadhi nyingine zote zilizobaki zinaweza kutembelewa bila kutumia kampuni ya mwongoza watalii japo inashauriwa sana kutumia kampuni hizo ili kuhakikisha mpangilio mzuri wa utalii wako.
Mambo unayotakiwa kuyajua kabla ya kujiandaa kutembelea hifadhi za taifa:
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaSms nzuri za msamaha kwa mpenzi ni zipi?
Flora Jumanne
Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Tukae kimya sheteni apite, naaminiRead more
Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu!
See less•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tukae kimya sheteni apite, naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa sheteni ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear…
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
maneno million haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia.
kutoka SMSzaMapenzi blog
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKama mtanzania amezaliwa akiwa nje ya nchi, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania?
Flora Jumanne
RITA wanasema hivi "Mtanzania aliyezaliwa ng’ambo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania bara. Sheria inayoongoza usajili wa vizazi na vifo hairuhusu kusajili matukio ya vizazi vilivyotokea ng’ambo."
RITA wanasema hivi “Mtanzania aliyezaliwa ng’ambo hawezi kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania bara. Sheria inayoongoza usajili wa vizazi na vifo hairuhusu kusajili matukio ya vizazi vilivyotokea ng’ambo.”
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNaweza kupanda Mlima Kilimanjaro bila kutumia kampuni ya tour ama tour guide?
Flora Jumanne
Hapana, unahitaji kampuni ya kuongoza watalii wakati wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa sababu utahitaji kutumia muda usiopungua siku tano kufika kileleni. Kwa wakati wote huo utahitaji chakula, maji na mtu wa kukuongoza na kubeba mahitaji yako. Huduma zote hizo zinatolewa na kampuni ya kuongoza watalRead more
Hapana, unahitaji kampuni ya kuongoza watalii wakati wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa sababu utahitaji kutumia muda usiopungua siku tano kufika kileleni.
Kwa wakati wote huo utahitaji chakula, maji na mtu wa kukuongoza na kubeba mahitaji yako. Huduma zote hizo zinatolewa na kampuni ya kuongoza watalii.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKipindi gani ni kizuri zaidi kupanda Mlima Kilimanjaro?
Flora Jumanne
Unaweza kupanda Mlima Kilimanjaro kipindi chochote cha mwaka japo kuanzia mwezi Juni hadi Desemba ndio wakati unaopendendwa na wengi kwa sababu uwezekano wa kuwepo mvua kubwa ni mdogo.
Unaweza kupanda Mlima Kilimanjaro kipindi chochote cha mwaka japo kuanzia mwezi Juni hadi Desemba ndio wakati unaopendendwa na wengi kwa sababu uwezekano wa kuwepo mvua kubwa ni mdogo.
See less