Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Ntapata wapi app ya kuangalia TV za bongo?
Faustine John
Sijui kama kama kuna app moja itakayokuwezesha kuangalia tv zote za nyumbani ila kwa ninavyofahamu unaweza kutumia app zifuatazo kufanikisha unachokitaka StarTimes AzamTv DStv Itv StarTv CloudsTv na TBC Link nilizoweka katika iyo list ni kwa ajili ya app za Android tu.
Sijui kama kama kuna app moja itakayokuwezesha kuangalia tv zote za nyumbani ila kwa ninavyofahamu unaweza kutumia app zifuatazo kufanikisha unachokitaka
StarTimes
AzamTv
DStv
Itv
StarTv
CloudsTv na
TBC
Link nilizoweka katika iyo list ni kwa ajili ya app za Android tu.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppApp ya kuangalia TV channel za bongo ni ipi?

Tazama AppNawezaje kubadilisha jezi kwenye dream league?
Faustine John
https://www.youtube.com/watch?v=9fhIjzqn_l8
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNitajuaje jinsi ya kufungua email account mpya?
Faustine John
Ingia google andika "fungua akaunti ya google" bonyeza link ya kwanza au ya pili kisha chagua fungua akaunti alafu fuata maelekezo basi baada ya hapo unakua tayari unayo email accountmpya kabisa.
Ingia google andika “fungua akaunti ya google” bonyeza link ya kwanza au ya pili kisha chagua fungua akaunti alafu fuata maelekezo basi baada ya hapo unakua tayari unayo email accountmpya kabisa.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppProgramu nzuri ya kuedit picha kwenye PC ni ipi?
Faustine John
Programu za Adobe ambazo ni Photoshop na Illustrator Na ata ile program ya photos iliyopo kwenye windows kwa ajili ya kuview picha na yenyewe inaedit kama ku crop kuflip na brightness
Programu za Adobe ambazo ni Photoshop na Illustrator
Na ata ile program ya photos iliyopo kwenye windows kwa ajili ya kuview picha na yenyewe inaedit kama ku crop kuflip na brightness
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kudownload kwenye simu ya batani?
Faustine John
Simu nyingi za batani sku izi zinaweza kudownload pia sema sasa inatakiwa upate sehemu sahihi ya kudownload mfano ile waptrick.com inaweza kufaa kudownloadia vvyenye Mb chache.
Simu nyingi za batani sku izi zinaweza kudownload pia sema sasa inatakiwa upate sehemu sahihi ya kudownload mfano ile waptrick.com inaweza kufaa kudownloadia vvyenye Mb chache.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNifanyeje kadi yangu ya NHIF ikikataliwa hospitalini?
Faustine John
Kama kadi imekataliwa hospitali NHIF kupitia website yao wanasema kuwa unapaswa kupiga simu Huduma kwa wateja namba 0800110063
Kama kadi imekataliwa hospitali NHIF kupitia website yao wanasema kuwa unapaswa kupiga simu Huduma kwa wateja namba 0800110063
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kubadilisha IMEI ya simu?
Faustine John
*.Download App ya Mobile Uncle App play store kwenye android yako. Download Mobile Uncle App Hapa *.sasa, Fungua hiyo app. *.Alafu, chagua Engineer Mode > Engineer Mode (MTK). *.Shuka chini & Bofya kwenye CDS Information *.Chagua Radio Information. *.Utakuta options mbili, Utachagua “Phone 2”Read more
*.Download App ya Mobile Uncle App play store kwenye android yako.
Download Mobile Uncle App Hapa
*.sasa, Fungua hiyo app.
*.Alafu, chagua Engineer Mode > Engineer Mode (MTK).
*.Shuka chini & Bofya kwenye CDS Information
*.Chagua Radio Information.
*.Utakuta options mbili, Utachagua “Phone 2”
*.Utapata option kama hii AT
*.Sasa, ingiza AT < Tarakimu 15 za IMEI mpya> (Kwa Mfano -AT 123456789012345 )
*.Chagua, SEND AT COMMAND
*.Baada ya hapo unatakiwa kui Restart simu yako alafu utapata IMEI zako mpya za android yako
hiyo ni bila ku root simu yako kusoma zaidi(na kwa ku root) soma HAPA
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kufuta account ya Instagram?
Faustine John
1. Fungua instagram kwenye PC au simu kwa kutumia browser. Huwezi kufuta kwa kupitia App ya Instagram 2. Ingia kwenye akaunti yako ( log in ) 3.Bofya kwenye kiungo hiki =>https://www.instagram.com/accounts/remove/request/permanent/ 4. Chagua machaguo kwenye ” drop menu ” ya KWANINI UNATAKA KUFUTARead more
1. Fungua instagram kwenye PC au simu kwa kutumia browser. Huwezi kufuta kwa kupitia App ya Instagram
2. Ingia kwenye akaunti yako ( log in )
3.Bofya kwenye kiungo hiki =>https://www.instagram.com/accounts/remove/request/permanent/
4. Chagua machaguo kwenye ” drop menu ” ya KWANINI UNATAKA KUFUTA AKAUNTI YAKO……
5. Bofya kwenye ” PERMANENTLY DELETE MY ACCOUNT ”
kuendelea kusoma zaidi(kwa picha) nenda HAPA
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kufuta background kwenye picha?
Faustine John
Hii ni kwa wale wanaotumia simu za android 1. Pakua na install app inayoitwa Background Eraser katika simu yako ya android. 2. Pale tu application inapomaliza kuinstall, ifungue na itakuonyesha machaguo yafuatayo. Chagua Load a Photo. 3. Sasa chagua picha yoyote unayotaka kuondoa background na icropRead more
Hii ni kwa wale wanaotumia simu za android
1. Pakua na install app inayoitwa Background Eraser katika simu yako ya android.
2. Pale tu application inapomaliza kuinstall, ifungue na itakuonyesha machaguo yafuatayo. Chagua Load a Photo.
3. Sasa chagua picha yoyote unayotaka kuondoa background na icrop katika eneo unalotaka litolewe background.
4. Baada ya kucrop picha bonyeza Done
5. Sasa hapo utapewa machaguo matatu ya jinsi ya kuondoa background, auto, manual au eraser.Unashauriwa kuchagua auto huku ukiwa umezoom (kukuza) picha.
6. Baada ya hapo sehemu kubwa ya background itakuwa imetoka, unaweza ukatumia eraserkusafisha baadhi ya maeneo ambayo hayasafishwa vizuri.
7. Baada ya hapo bonyeza Done, alafu chagua smooth level to maximum ili kupata picha yenye mwonekano mzuri.
8. Mwisho kabisa bonyeza Finish, na hapo utakuwa tayari unapicha iliyotolewa background.
post kutoka designerbby blog
See less