Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Sifa za kujiunga na chuo cha maji ni zipi?
Edutan
Vigezo vya kujiunga na Chuo cha Maji ngazi ya Diploma Mwanafunzi aliemaliza kidato cha nne, awe na ufahulu wa alama D angalau tatu katika masomo ya Physics, Mathematics, Biology, Chemistry au Geography. Muhitimu wa VETA mwenye Grade I (NVA III) na angalau alama D katika masomo ya Physics Chemistry BRead more
Vigezo vya kujiunga na Chuo cha Maji ngazi ya Diploma
Mwanafunzi aliemaliza kidato cha nne, awe na ufahulu wa alama D angalau tatu katika masomo ya Physics, Mathematics, Biology, Chemistry au Geography.
Muhitimu wa VETA mwenye Grade I (NVA III) na angalau alama D katika masomo ya Physics Chemistry Biology Geography au Mathematics.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppUnakijua Chuo cha Mipango Dodoma?
Edutan
Ndio nakifahamu. Chuo kinapatikana Dodoma mjini eneo la miyuji barabara inayoelekea Arusha. Kozi zinazotolewa hapa zinahusu maswala ya maendeleo ya miji na vijiji na nyingine zinazohusiana na hizo Niliandika post inayohusu chuo hiki, soma hapa chini Chuo cha Mipango Dodoma – Institute of Rural DevelRead more
Ndio nakifahamu.
Chuo kinapatikana Dodoma mjini eneo la miyuji barabara inayoelekea Arusha. Kozi zinazotolewa hapa zinahusu maswala ya maendeleo ya miji na vijiji na nyingine zinazohusiana na hizo
Niliandika post inayohusu chuo hiki, soma hapa chini
Chuo cha Mipango Dodoma – Institute of Rural Development Planning (IRDP)
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppKitabu gani kimewahi kubadilisha maisha yako?
Edutan
Kwa wale wapenzi wa vitabu vilivyoandikwa katika lugha ya kiingereza naweza kupendekeza vitabu vitano(5) vinavyoweza kubadilisha maisha au kubadilisha kitu ndani ya maisha yako. ATTITUDE IS EVERYTHING - JEFF KELLER HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE - DALE CARNEGIE RICH DAD, POOR DAD - ROBERTRead more
Kwa wale wapenzi wa vitabu vilivyoandikwa katika lugha ya kiingereza naweza kupendekeza vitabu vitano(5) vinavyoweza kubadilisha maisha au kubadilisha kitu ndani ya maisha yako.
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kudownload vitabu vya kulipia bure?
Edutan
Nadhani hii ndio sehemu bora zaidi
Nadhani hii ndio sehemu bora zaidi
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppSosholojia ni nini?
Edutan
Sosholojia ni fani ya sayansi inayochunguza mwenendo wa kijamii, yaani binadamu katika maisha ya jamii: unavyoanza, unayoendelea, unavyojipanga na unavyosababisha miundo Kwa maneno mengine, sosholojia inamsoma mtu katika mahusiano yake: mtu na mtu, mtu na watu (kundi) na hivyo huweza kugundua tabiaRead more
Sosholojia ni fani ya sayansi inayochunguza mwenendo wa kijamii, yaani binadamu katika maisha ya jamii: unavyoanza, unayoendelea, unavyojipanga na unavyosababisha miundo
Kwa maneno mengine, sosholojia inamsoma mtu katika mahusiano yake: mtu na mtu, mtu na watu (kundi) na hivyo huweza kugundua tabia zake mbalimbali.
Somo hilo linahusiana na masomo mengine, kama vile anthropolojia, historia, saikolojia na uchumi.
Ni mojawapo kati ya sayansi za jamii nayo inatumia mbinu tofauti za kutambua hali halisi, halafu inazichunguza kimpango.
NUKUU KUTOKA WIKIPEDIA
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNi namna gani ya kuongeza iq ya mtu?
Edutan
Mwandishi mmoja aliwahi kusema "Tunahitaji kuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na sio IQ kubwa" Hii ni kwa sababu IQ hupimwa kwa mitihani ambayo unaweza kuifanyia mazoezi na ukafanya vizuri katika mitihani hiyo Mwandishi huyo alipendekeza njia 70 za kukuwezesha kuongeza uwezo wa kukumbuka na sio iq. SRead more
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Tunahitaji kuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na sio IQ kubwa”
Hii ni kwa sababu IQ hupimwa kwa mitihani ambayo unaweza kuifanyia mazoezi na ukafanya vizuri katika mitihani hiyo
Mwandishi huyo alipendekeza njia 70 za kukuwezesha kuongeza uwezo wa kukumbuka na sio iq.
Soma njia hizo (kwa lugha ya kiingereza)
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama Appivi square root ya 0 ni ngapi?
Edutan
Square root ya zero(0) itakua ni 0 kwa sababu ukizidisha 0 na 0 unapata 0 yani 0²=0x0=0
Square root ya zero(0) itakua ni 0 kwa sababu ukizidisha 0 na 0 unapata 0 yani 0²=0x0=0
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppShule ni nini?
Edutan
Shule ni taasisi kama taasisi nyingine mfano, misikiti, makanisa nk. ambayo inaongoza na kuratibu swala zima la elimu kwa wanafunzi ili waweze kupata maarifa na ujuzi, hii ni kwa kuchokoza hisia zao ili zikomae kukuza wigo mpana katika elimu.
Shule ni taasisi kama taasisi nyingine mfano, misikiti, makanisa nk. ambayo inaongoza na kuratibu swala zima la elimu kwa wanafunzi ili waweze kupata maarifa na ujuzi, hii ni kwa kuchokoza hisia zao ili zikomae kukuza wigo mpana katika elimu.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppKazi za kamati ya shule ni zipi?
Edutan
Kamati ya shule ni nini? Kamati ya shule ni kikundi cha wajumbe waliochaguliwa kwa ajili ya kuongoza na kuangalia shughuli za shule ya msingi kwa msaada wa jamii. Kila shule ya msingi kisheria inatakiwa kuwa na kamati ya shule. Kamati ya shule ina dhima ya msingi katika kutekeleza Mpango wa MaendeleRead more
Kamati ya shule ni nini?
Kamati ya shule ni kikundi cha wajumbe waliochaguliwa kwa ajili ya kuongoza na kuangalia shughuli za shule ya msingi kwa msaada wa jamii. Kila shule ya msingi kisheria inatakiwa kuwa na kamati ya shule. Kamati ya shule ina dhima ya msingi katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Nani ni wajumbe wa kamati ya shule?
MMEM inakusudia kuongeza demokrasia, ushiriki na uwajibikaji katika muundo na kazi za kamati ya shule. Nakala ya MMEM haijaonyesha wazi wajumbe wa kamati ya shule ni akina nani, lakini inasisitiza wawakilishi kutoka katika jamii, walimu, wanafunzi, wazazi na serikali ya kijiji. Pia inahimiza usawa wa kijinsia ili kuhakikisha sauti za wasichana na wanawake zinasikika.
Kamati ya shule ina majukumu/kazi gani?
Kamati ya shule inahusika na masuala yote ya shule kwa ujumla. Kwa mujibu wa kiambatanisho cha MMEM majukumu yake makuu ni:
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppAnuani ya Chuo cha Mipango Dodoma ni ipi?
Edutan
P. O BOX 138 DODOMA,TANZANIA Hiyo ndiyo anuani yao ya posta
P. O BOX 138
DODOMA,TANZANIA
Hiyo ndiyo anuani yao ya posta
See less