Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kutengeneza app?
ChuiTec
Kama ungependa kujua jinsi ya kutengeneza app ya android bila kuwa na ujuzi yani programming endelea kusoma . Kama ungependa kujua namna ya kutengeneza app hizo kwa njia ya programming yani Android Studio na nyingine post hii haielezei kuhusu hilo japo unaweza kujifunza mambo kadhaa ambayo ni muhimuRead more
Kama ungependa kujua jinsi ya kutengeneza app ya android bila kuwa na ujuzi yani programming endelea kusoma . Kama ungependa kujua namna ya kutengeneza app hizo kwa njia ya programming yani Android Studio na nyingine post hii haielezei kuhusu hilo japo unaweza kujifunza mambo kadhaa ambayo ni muhimu pia.
Hatua za kufuata kutengeneza app yako
1.Research (fanya uchunguzi)
Unatengeneza app kwa nini? Labda unataka kutatua tatizo fulani mfano app ya Thl ni utatuzi wa tatizo la notes kwa wanafunzi. Pia unaweza kuamua kutengeneza app kwa ajili ya burudani, app kwa ajili ya wewe kujifunza tu au hata app isiyokuwa na maana yoyote
Kama unatengeneza app kwa ajili ya biashara ni vizuri ukajua watumiaji watakuwa wa kina nani? watakuwa tayari kulipia? Unatoa huduma ambayo watu wataihitaji? na mengine yanayofanana na hayo
2.Tengeneza app yako
Ukishajua app unayohitaji kuitengeneza unakuja kwenye hatua muhimu kabisa ya kuitengeneza app yako. Njia rahisi ni kwa kutengeneza app online yaani katika website zinazotoa huduma hiyo. Unaweza kutumia njia hizi rahisi.
AppCreator 24
Kama unataka kutengeneza app hasa kwa ajili ya blog au website yako ili ni chaguo bora. Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika website yao unajiunga au una log in alafu utaweza kutengeneza app yako ndani ya dakika chache tu.
Andromo
Unataka kutengeneza app kwa ajili ya Masomo, sauti, ramani, picha, ukurasa wa youtube, blog au website unaweza tumia hii. Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika website yao ili kuanza kutengeneza app yako. TanzaniaTech wameeleza hatua jinsi ya kutengeneza app kwa kutumia Andromo hapa
Website nyingine zinazoweza kufanikisha lengo lako ni kama
3.Test app yako
Hii ndiyo hatua inayofurahisha zaidi. Hapa unajaribu app uliyoitengeneza kama inakidhi vigezo na matarajio uliyoyaweka kabla ya kuitengeneza app yenyewe. Kama unatumia kompyuta kutengeneza ni vyema ukawa na simu kwa ajili ya ku test.
4.Sambaza app yako
Kama umemaliza hatua zote sasa unaweza kuiweka app yako katika platforms mbalimbali na hata kufanya matangazo kwa ajili ya kupata watumiaji. Unaweza kuiweka Google Play Store (ni muhimu kwa sababu watumiaji wengi wapo hapa), Amazon App Store na nyingine.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaGharama za kutengeneza application ni kiasi gani?
ChuiTec
Gharama za kutengeneza application zitategemea na aina ya application unayotaka kutengeneza. Unaweza kutumia njia zifuatazo kutengeneza. Njia ya kwanza ni kwa kutumia wataalamu. Hapa utatafuta mtu au kampuni ya kutengeneza app utawaelezea app unayohitaji watakupangia bei alafu watatengeneza kulinganRead more
Gharama za kutengeneza application zitategemea na aina ya application unayotaka kutengeneza. Unaweza kutumia njia zifuatazo kutengeneza.
Njia ya kwanza ni kwa kutumia wataalamu. Hapa utatafuta mtu au kampuni ya kutengeneza app utawaelezea app unayohitaji watakupangia bei alafu watatengeneza kulingana na mahitaji yako. Inaweza kuanzia Tsh 500,000 kwa app ya kawaida.
Njia nyingine ni kwa kutengeneza mwenyewe au kutumia website na software zinazopatikana mtandaoni. Njia hii wala haihitaji ujuzi mkubwa sana, ni rahisi na unaweza kuanza kutengeneza app ndani ya muda mfupi tu. Hasara yake ni kwamba hautaweza kutengeneza apps zilizo ‘complicated’ sana. Kufahamu zaidi kuhusu hii njia bofya Hapa
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kutengeneza website ya biashara yangu kama sina utaalamu?
ChuiTec
Usihofu kuna njia rahisi kabisa ya kutengeneza website kwa ajili ya biashara yako hata bila kuwa na utaalamu wowote wa maswala hayo. Kuna kitu kinaitwa Wordpress. Hii itakuwezesha kutengeneza tovuti ya aina yoyote hata kama hauna utaalamu na utatumia bajeti ndogo. Utakachotakiwa kufanya ni kufuata mRead more
Usihofu kuna njia rahisi kabisa ya kutengeneza website kwa ajili ya biashara yako hata bila kuwa na utaalamu wowote wa maswala hayo.
Kuna kitu kinaitwa WordPress. Hii itakuwezesha kutengeneza tovuti ya aina yoyote hata kama hauna utaalamu na utatumia bajeti ndogo. Utakachotakiwa kufanya ni kufuata maelekezo yake ambayo ni rahisi na yanaelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kufanya hivyo.
BonyezaHapa kuchat na mimi sasa nikupe mwongozo.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKwa kutumia code nawezaje kutengeneza website?
ChuiTec
Unaweza kutengeneza website kwa kutumia coding, ila ni muhimu kuzingatia yafuatayo. Lazima uwe unajua lugha(programming language) inayoweza kutumika. Kwa website ya kawaida isiyohitaji mambo mengi sana unahitaji kufahamu HTML na CSS. Kwa website advanced inabidi ufahamu HTML/CSS na lugha nyingine kaRead more
Unaweza kutengeneza website kwa kutumia coding, ila ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
Lazima uwe unajua lugha(programming language) inayoweza kutumika. Kwa website ya kawaida isiyohitaji mambo mengi sana unahitaji kufahamu HTML na CSS.
Kwa website advanced inabidi ufahamu HTML/CSS na lugha nyingine kama JavaScript, PHP au Python.
Licha ya kufahamu hayo yote unapaswa kuiweka website yako hewani ili watu waweze kuitembelea, hapa utahitaji sehemu ya ku host mafaili ya website yako. Utahitaji hosting pamoja na domain name. Domain name ni jina la website yako mfano mojasky.com
Domain name na hosting hupatikana kwa kulipia. Kwa kampuni za ubora na zilizo na unafuu katika malipo tembelea link zifuatazo
Domain Names
Kampuni za Hosting
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaKuna hosting za bure?
ChuiTec
Zipo hosting za bure kabisa ambazo hautalipa chochote na website au blog yako itakua hewani. Ila sikushauri kutumia hizo kwa sababu zina matatizo mengi na unaweza kujiuliza mwenyewe kwa nini mtu atoe huduma inayoweza kumgharimu kwa bei ya bure? Hasara zake ni kama wanaweza kuweka matangazo katika weRead more
Zipo hosting za bure kabisa ambazo hautalipa chochote na website au blog yako itakua hewani. Ila sikushauri kutumia hizo kwa sababu zina matatizo mengi na unaweza kujiuliza mwenyewe kwa nini mtu atoe huduma inayoweza kumgharimu kwa bei ya bure?
Hasara zake ni kama wanaweza kuweka matangazo katika website yako bila hata wewe kutaka na pia wanaweza kuiondoa website yako muda wowote bila taarifa na bila kukupa nafasi ya kudownload website yako kwa ajili ya backup.
Ningekushauri utumie hosting zenye gharama nafuu kwa kuanzia, kwa sababu ni nafuu sana ili uepukane na hayo. Kujua kuhusu hosting hizo bonyeza HAPA
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kutengeneza website kwa kutumia coding?
ChuiTec
Unaweza kutengeneza website kwa kutumia coding, ila ni muhimu kuzingatia yafuatayo. Lazima uwe unajua lugha(programming language) inayoweza kutumika. Kwa website ya kawaida isiyohitaji mambo mengi sana unahitaji kufahamu HTML na CSS. Kwa website advanced inabidi ufahamu HTML/CSS na lugha nyingine kaRead more
Unaweza kutengeneza website kwa kutumia coding, ila ni muhimu kuzingatia yafuatayo.
Lazima uwe unajua lugha(programming language) inayoweza kutumika. Kwa website ya kawaida isiyohitaji mambo mengi sana unahitaji kufahamu HTML na CSS.
Kwa website advanced inabidi ufahamu HTML/CSS na lugha nyingine kama JavaScript, PHP au Python.
Licha ya kufahamu hayo yote unapaswa kuiweka website yako hewani ili watu waweze kuitembelea, hapa utahitaji sehemu ya ku host mafaili ya website yako. Utahitaji hosting pamoja na domain name. Domain name ni jina la website yako mfano mojasky.com
Domain name na hosting hupatikana kwa kulipia. Kwa kampuni za ubora na zilizo na unafuu katika malipo tembelea link zifuatazo
Domain Names
Kampuni za Hosting
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaHosting bora zaidi ni ipi?
ChuiTec
Napendekeza hizi hapa 1.BlueHost (2.95$) Unataka hosting nafuu zaidi na yenye ubora?. Basi Bluehost ndio jibu lako. Utalipia $2.95 kwa mwezi ambayo ni sawa na $35.4 ama Tsh 82,000 kwa mwaka. Faida Free domain name – ukilipia hosting unapata domain name bure kabisa Free SSL certificate – website yakoRead more
Napendekeza hizi hapa
1.BlueHost (2.95$)
Unataka hosting nafuu zaidi na yenye ubora?. Basi Bluehost ndio jibu lako. Utalipia $2.95 kwa mwezi ambayo ni sawa na $35.4 ama Tsh 82,000 kwa mwaka.
Faida
Host website yako na Bluehost sasa
2.FastComet (3.45$)
Ukihost website/blog yako kupitia FastComet utalipia $3.45 kwa mwezi ambayo ni sawa na $41.4 yaani Tsh 96,000 kwa mwaka.
Faida
Host website yako na Fastcomet sasa
3. Namecheap (1.44$)
Hosting nyingine inayoweza kukupa unafuu katika kazi yako ni Namecheap. Utahitajika kulipa 1.44$ kwa mwezi ikiwa ni $17.28 au Tsh 40,000 kwa mwaka. Domains zinazopatikana bure katika kifurushi hiki ni .fun .host .online .site .press .store .space .pw .tech
Faida
Host website yako na Namecheap sasa
4.DreamHost (2.59$)
DreamHost inaweza kukamilisha ndoto yako ya kuwa online kwa kukupatia hosting nafuu inayoanzia $2.59 kwa mwezi. Hii inamaanisha ni $31.8 au Tsh 72,000 kwa mwaka wa kwanza.
Faida
Host website yako na Dreamhost sasa
5.Kilihost (Tsh25,000)
Hosting ya Tanzania ya pekee katika list hii. Kilihost inakupa unafuu sana wa kuanza safari ya kuwa mtandaoni. Bei zao zinaanzia Tsh 25,ooo kwa mwaka mzima
Faida
Host website yako na Kilihost sasa
Mwisho kabisa ni vyema ukawa makini sana katika kuchagua kampuni ya kuhost kwa ajili ya blog au website yako. Kama bado una maswali ama unahitaji muongozo katika kuchagua ama kujiunga na moja ya hosting Chat na mimi sasa
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje ku design blog inayolipa?
ChuiTec
Ku design blog ni kitu kimoja na kupata pesa kupitia blog ni kitu kingine. Kuhusu namna ya kutengeneza blog soma hii Nawezaje kuunda blog?. Tuje katika swala la kuifanya iwe inalipa. Kwanza lazima ujue njia utakayotumia kupata pesa kupitia blog yako. Wengi wanaoanzisha blog huanzisha kwa kutegemea kRead more
Ku design blog ni kitu kimoja na kupata pesa kupitia blog ni kitu kingine. Kuhusu namna ya kutengeneza blog soma hii Nawezaje kuunda blog?.
Tuje katika swala la kuifanya iwe inalipa.
Kwanza lazima ujue njia utakayotumia kupata pesa kupitia blog yako. Wengi wanaoanzisha blog huanzisha kwa kutegemea kuwa watatumia matangazo kutoka Google(Adsense). Njia hii ndio rahisi zaidi, ila ni lazima kuzingatia yafuatayo kabla ya kuanza
Ukiacha Adsense ambayo ndio njia bora ya kuingiza kipato kwa kutumia blog pia unaweza kutumia matangazo kutoka sehemu nyingine kama SeeBait, Proppeller na Adsterra
Kama ungependa kuuliza chochote bonyeza HAPA
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNitajuaje jinsi ya kufungua website?
ChuiTec
Usipate tabu, kutengeneza website ni rahisi sana. Kitu cha kwanza inatakiwa uwe unajua unahitaji website ya aina gani na ni kwa ajili ya nini. Kama ni kwa ajili ya kuchapisha maswala binafsi tu au kwa ajili ya kujifurahisha unaweza tumia Blogger. Blogger ni njia rahisi ya kutengeneza website au blogRead more
Usipate tabu, kutengeneza website ni rahisi sana. Kitu cha kwanza inatakiwa uwe unajua unahitaji website ya aina gani na ni kwa ajili ya nini. Kama ni kwa ajili ya kuchapisha maswala binafsi tu au kwa ajili ya kujifurahisha unaweza tumia Blogger.
Blogger ni njia rahisi ya kutengeneza website au blog bila hata kuwa na ujuzi wowote. Ila kama una ujuzi kidogo (html&css) itakua faida kwako. Kuunda blog kwa kutumia blogger nenda blogger.com au unaweza kupata ushauri wa bure HAPA.
Kama ni kwa ajili ya biashara au unahitaji kuwa siriazi na kutengeneza pesa kupitia website, nakushauri utumie WordPress. Hii ni njia nyingine rahisi ya kutengeneza blog au website yoyote hata kama hauna ujuzi mkubwa. Ila tofauti ya njia hii na hiyo hapo juu ni kuwa hii unapaswa kulipia hosting na domain name. Malipo yake yanaweza kuanzia Tsh 100,000 kwa mwaka.
Sababu za kwa nini utumie njia hii ni kuwa utatengeneza blog inayoonekana professional na itakuwa rahisi kupata watumiaji wengi kwa sababu wordpress ina mfumo mzuri wa kupata watumiaji kutokea search engine kama Google.
Unaweza kupata ushauri bure kabisa HAPA
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kutengeneza website kwa kutumia WordPress?
ChuiTec
Wordpress ni njia inayokuwezesha kutengeneza website ya aina yoyote bila kuzingatia uwezo au ujuzi ulionao. Ili uweze kutengeneza website yako unapaswa kufahamu haya. Kwanza wordpress ni self hosted (wordpress.com ni kitu kingine, hapa nazungumzia wordpress.org). Maana yake ni kwamba lazima uwe na sRead more
WordPress ni njia inayokuwezesha kutengeneza website ya aina yoyote bila kuzingatia uwezo au ujuzi ulionao.
Ili uweze kutengeneza website yako unapaswa kufahamu haya. Kwanza wordpress ni self hosted (wordpress.com ni kitu kingine, hapa nazungumzia wordpress.org). Maana yake ni kwamba lazima uwe na server kwa ajili ya kuhost website yako. Utalipia kwa mwezi au kwa mwaka ku host. Angalia kuhusu hosting za bei nafuu hapa
Ukishafanikiwa kupata hosting. Utapata feature ya kuinstall wordpress kwa clicks chache tu(ni rahisi sana). Ukimaliza ku install utakua na option ya kuchagua theme au template katika list ya maelfu ya templates ambazo nyingine ni free na nyingine ni za kulipia.
Kama bado unahisi kuchanganyikiwa, bonyeza hapa kupata ushauri.
See less