Majibu ni sentensi au maelezo zenye jawabu au suluhisho la maswali yaliyoulizwa. Watu wengi huwa na maswali wasiyokua na majibu. Tunaweza kusaidiana kwa kujibu kutokana na uzoefu na kile tunachokifahamu. Wasaidie wengine kwa kujibu maswali yao kutokana na kile unachokifahamu(chagua ...
Discy Latest Articles
Jibu
Jibu ni sentensi au maelezo yenye jawabu au suluhisho la swali lililoulizwa. Watu wengi huwa na maswali wasiyokua na majibu. Tunaweza kusaidiana kwa kujibu kutokana na uzoefu na kile tunachokifahamu. Wasaidie wengine kwa kujibu maswali yao ktokana na kile unachokifahamu(chagua ...
Swali
Swali ni jambo linaloulizwa au jambo linalotafutiwa jibu au jawabu. Ni sentensi inayolenga kupata taarifa kuhusu kitu fulani. Mfano: Naweza kukuliza swali? Je una swali? uliza sasa kupitia mojasky.com/uliza-swali Au download app ili uweze kuuliza kirahisi zaidi
Maswali
Maswali ni mambo yanayoulizwa au mambo yanayotafutiwa jibu au jawabu. Ni sentensi zinazolenga kupata taarifa kuhusu kitu fulani. Mfano: Naweza kukuliza maswali? Je una maswali? uliza sasa kupitia mojasky.com/uliza-swali Au download app ili uweze kuuliza kirahisi zaidi
MojaSky App – Kuuliza na kujibu maswali kirahisi zaidi.
Una swali lolote na unahitaji jibu?. Ungependa kuwasaidia wengine kwa kujibu maswali yao kutokana na kile unachokifahamu?. App ya MojaSky inakupa urahisi zaidi wa kuyafanya hayo kiganjani mwako. Uliza swali muda wowote(unaweza kuuliza hata bila kujiunga na ukaokoa muda). Angalia ...
Namna ya kujua Zip/Postal codes za Tanzania

Kama umewahi kujaza fomu mbalimbali mtandaoni unaweza kuwa ulikukutana na sehemu inayokutaka kujaza zip code au postal code hususa ni shughuli zinazohitaji malipo mtandaoni kama kununua ‘domain name’ na baadhi ya huduma za kusajili akaunti za email. Zip/Postal Codes ni ...
POSTAL/ZIP CODES ZA MIKOA YOTE TANZANIA
Kanusho