Pangu pakavu tia mchuzi maana yake nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Pangu pakavu tia mchuzi hutumika kuwataja wale watu ambao maisha yao ni magumu.
Maana yake ni kwamba katika maisha yako kuna shida na unahitaji msaada, ni kama ukiwa unakula ubwabwa na upande wako wa chakula hauna mchuzi au mboga hivyo unaomba kwa kusema kwangu pakavu tia mchuzi. Ni kamba maisha yako yanahitaji msaada.