Nitajuaje jinsi ya kutumia laptop?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Ulijuaje kutumia simu? Bila shaka wengi wa watumiaji wa simu walichukua simu na kuanza kubonyeza tu na kujaribu kufanya wanachohitaji kwa kukosea na kujirekebisha
Kujibu swali lako nitajuaje jinsi ya kutumia laptop?, utajua kwa kuanza kuitumia na kitu kikikushinda labda umeshindwa kuwasha kuzima au kutumia mouse unaweza ku muuliza mtu au kusearch katika intrnet jinsi ya kufanya hivyo kwa kutumia simu au PC hiyohiyo.
Kama lengo lako ni kujifunza kutumia kompyuta kwa ajili ya kazi kubwa kama za uandishi, kutengeneza graphics, apps au kazi za stationary ni vema ukapata kozi husika inayohusu swala unalohitaji katika taasisi ya chaguo lako.
Pia unaweza kusoma basic computer course kwa ajili ya kuongeza ujuzi na mautundu katika utumiaji wako wa hiyo laptop na kompyuta kwa ujumla.
Naomba msaada ili nijue kutumia laptop.
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama Appibrahimu