Nitajuaje jinsi ya kupata views nyingi Youtube?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Views nyingi zinanaweza kuletwa na subscribers wengi na mambo mengine mengi tu. Nimeangalia hii kwa mkwanjamaker blog ameeleza vizuri kabisa unavyoweza kufanya kuongeza subscribers na kumbuka kuwa ukiwa na subscribers wengi inakuwa rahisi zaidi kupata views nyingi.
Subscriber ni nini.

Subscribe haina maana ya mbali sana na neno Followers (wafuasi au wafuatiliaji) mtu anapo Subscribe Chanel yako maana yake amependa kufuatilia chaneli yako pamoja na Videos zako unazo post kwenye hiyo Chanel yako. ikimaanisha kuwa ukiwa na subscriber 10 ina maanisha hao watu 10 ndio watakuwa wa kwanza kuona post zako za videos punde watakapo ingia Youtube.
Njia za kienyeji(zisizo rasmi)Unazoweza kutumia kuongeza subscriber.
Njia hizi zita tegemea na mambo au habari zinazo husu hiyo Chanel yako unayotaka kuanzisha kama vile ni ya Muziki, Habari, Michezo na kadhalika.
Haapa nikimaanisha unatakiwa kucheza na wakati i mean kama channel yako wewe inahusu muziki basi jaribu kucheza na mastaa pamoja na habari zao, kwa mfano umesikia msanii yoyote mkubwa ametoa nyimbo leo ,Unachotakiwa kufanya ni kui download hiyo nyimbo na kuipost tena Kwenye Chanel yako kwasababu msaani mkubwa kama vile Diamond Platnumz au Ali Kiba wana wafuasi au mashabiki wengi wanao wafuatilia hivyo basi wanapo sikia kuwa mmoja wa wasanii hawa ametoa nyimbo mpya basi mashabiki wao hua ndio wa kwanza kukimbilia YouTube Kuitazama, Sasa hapo kwenye kutazama au kui search hiyo nyimbo ndipo watakapo kutana na Chanel Yako.
Ndipo watakapo anza kwa ku subscribe Channel yako wakiamini kuwa huenda ukawa ni poster mkubwa sana wa msanii wao wanao mfuatilia.
Lakini kuwa makini ???!!! Ukitaka kufanya njia Basi usi i monetize chanel yako kwa muda huo au unaweza uka de active kwa muda monetization kwa ajili ya kuepuka copyright content kwenye chanel yako.
Nini Umuhimu wa kufanya hivyo.
Umuhimu wa kufanya hvyo ni kwamba unatengeneza watu ambao watakao kuwa viwers wako wakubwa katika channel yako ukiwa na subscriber wengi maana yake utakacho post kitaangaliwa na watu wengi katika kipindi cha muda mfupi.
Sasa ni bora ukaanza kuyatengeneza hayo mazingira mapema kabla hujaanza kuifanyia monetization hiyo chanel yako.
Ili itakapofika kipindi cha kuifanyia monetization Channel tayari unakuwa na uhakika wa kuwa na viewers wengi pamoja na kuingiza mpunga mwingi kwa siku kulingana na idadi ya viewers ulionao.
JE INATOSHA PEKEE KUPOST VITU VYA MASTAA NA KUPATA VIEWERS NA SUBSCRIBE NYINGI?????????????.
Jibu ni hapana haitoshi pekee kupost vitu vya mastaa na kupiga kimya kusikilizia viewers waje wenyewe , Ingawa ni kweli huja wenyewe lakini juhudi binafsi lazima zitumike kwa ajili ya kuonge kwa kasi hao Viwers na Subscribe kama upo Serious na kumake money YouTube.
Baada ya ku upload hiyo Video yako YouTube mwishoni utapata link ya hiyo video yako ambayo umei upload YouTube.
Itumie hiyo link kuisambaza katika Social Media kwa ma fans husika kwa mfano ukiingia Facebook uka search Team Kiba Au Team Wasafi,Mond au vyovyote apo ndipo paku share hiyo link yako pamoja na kuiandikia kaujumbe kaku vutia ili uwa vutie mashabiki wake ,na kwasababu wana mpenda basi wengi watakimbilia kuiangalia hiyo Videos ambayo umeipost kwa kuwa ina muhusu fans wao au Mwanasiasa wao.
Na hapo ndipo utakapo anza Ku enjoy Maisha ya YouTube.
Usiogope kuandika post au Habari yoyote ile kwa maana ukifikia hatua ya kufungua chanel YouTube au Blog ina maanisha wewe ni Mwandishi wa Habari hatakama hujasomea habari kwa maana YouTube wata kutambua kama Publisher.
Kama Utakuwa na Swali Au Huja Nielewa Sehemu Yoyote ile nipigie,text au whats app kwa namba 0718 332120.
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge Sasajinsi ya kutafutwa na kuonwa YouTube
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaYes