Nitajuaje jinsi ya kudownload movie kupitia PC?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Kudownlod movie kwenye pc ni kazi rahisi sana,ila kuna vitu vichache navyo takiwa uvizingatie.
1>Ingia katika Google chrome
2>Kisha andika jina la movie unayoitaka.Mfano “The Lion King”
3>Kisha onganisha na neno Netnaija.Mfano “The Lion King Netnaija movie”
4>Kisha jaribu kutafuta link isemayo “thenetnaija.com” ikiwa katika herufi ndogo
5>Mpaka hapo utakuwa umeasha fanikiwa kuingia na utabonyeza botton iliyo andikwa Download 1 na Download 2 ili kupata link sahihi ya movie yako