Nitafanyaje hard reset kwenye iPhone?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ni kweli kwamba simu nyingi hususani zinazotumia android system huwa zina matatizo mengi makubwa na madogo ambayo njia na tiba rahisi ni kufanya factory reset kwenye simu. Lakini kabla hujaamua kufanya hivyo kwenye simu yako nakushauri kuangalia njia ya kuhifadhi vitu vilivyoko katika simu yako kwa sababu vitafutika vyote ikiwamo application, miziki na picha zote.
SASA TUNAANZA KUFANYA HARD RESET AU FACRORY RESET
KUMBUKA UTATUMIA MUDA KUTOKANA NA WEPESI AU UZITO WA SIMU YAKO.