Nitadownload vipi magemu ya PC bure?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kuna website kadhaa unaweza kupata games lakini ni vema ukawa makini usije ukadownload virus au ku install apps na extensions usizozihitaji.
Site ninazozifahamu ni
OCEAN OF GAMES
STEAM
GOOD OLD GAMES
GAMEPRESSURE
MEGAGAMES
Pia unaweza kudownload kwa kutumia torrent sites kama Piratebay na Extratorrent