Njia zipi zinatumika kulipia king’amuzi cha Azam?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Njia za kulipia ziko nyingi, unaweza ukalipia kwa Mitandao ua simu kama Airtel Money, Mpesa, Tigopesa au Ezy Pesa. Pia unaweza kulipia kwa wakala wa Azam TV aliye karibu yako au mawakala wa SELCOM, MAX MALIPO au BUTTON PAY eneo lolote nchini.