Kutunza taarifa za vitu mbalimbali ni muhimu. Chaguo la kupiga picha screen yako linaweza kuwa la kwanza kwa wakati ukiwa unatumia applications nyngine kama facebook nk. Kujua jinsi ya ku screennshot kunaweza kuokoa muda wako.

Unaweza kutumia njia zifuatazo ;

1. Kutumia power button pamoja na batton ya kupunguzia sauti

Shikilia kwa pamoja button ya kuwasha/kuzima simu pamoja na ya kupunguzia sauti kwa muda kidogo mpaka utakapoona picha yako ikitokea.

2. Kutumia chaguo lililopo katika notification bar.

Unaweza pia kutumia chaguo lililopo katika simu yako ya android kwa kuangalia mojakwa moja katika notification bar na kisha kubonyeza screenshot. Angalia picha chini.

3. Kutumia apps zinazopatikana playstore.

Pia unaweza kupata apps mbalimbali katika google playstore zinazoweza kukuwezesha kupiga picha screen yako kwa urahisi.

kurekodi screen katika format ya video soma hapa