Pale unapotaka kurekodi screen yako ya simu na usijue la kufanya unaweza kuwa katika wakati mgumu. Hii ndio njia rahisi ya kuweza kurekodi scseen yako bila shida yoyote. Njia hii ni kwa kutumia screen recorder

Hatua za kufata

  1. Ingia katika app ya Google Playstore kisha tafuta app “Lollipop Screen Recorder kisha install”
  2. Baada ya kudownload fungua app yako kisha bonyeza “START RECORDING”

Endelea kurekodi kwa muda unaotaka halafu angalia katika eneo la notification halafu bonyeza STOP kwa ajili ya kusimamisha/kusave video yako

  1. Baada ya kurekodi video hizo zinapatikana katika faili la ‘ScreenRecordings’