Njia gani ya kudownload app kwenye PC?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
namna ya kupata link ya games
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppFaustine John
Kama unatumia windows basi sehemu bora zaidi ya kudownload app kwa ajili ya pc yako ni Store inayopatikana katika pc yako moja kwa moja.
Lakini pia unaweza tu kusearch google iyo app au software unayoihitaji kisha ukafuata link ya kudownload, ila njia hii sio salama sana ukilinganisha na hiyo apo juu