Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 387
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 4, 20192019-02-04T12:13:45+03:00 2019-02-04T12:13:45+03:00Internet, Kompyuta, Simu

Njia gani naweza kutumia kudownload video za Youtube?

Njia gani naweza kutumia kudownload video za Youtube?
  • 2
  • 1,704
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Majibu 2

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 82 Answers
    • 0 Best Answers
    • 366 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    2020-04-08T09:50:27+03:00Jibu - April 8, 2020 saa 9:50 am

    Kuna njia nyingi za kudownload video za youtube kwenye simu yako ya android. Baadhi ya njia za kudownload ni

    Kutumia Apps
    Kuna apps nyingi zinazoweza kukuwezesha kudownload apps lakini apps hizo hazipatikani Google Playstore. mfano
    Videorder
    Tubemate
    Vidmate
    Snaptube

    Youtube app
    Kwa kutumia app ya youtube unaweza kudownload kwa sababu wanakupa uwezo wa kufanya hivyo. Tatizo la njia hii video utaweza kuiona kwa kutumia app ya youtube tu.

    Online download
    Unaingia katika website ya kudownload unaweka link ya video unayotaka kuidownload then una download
    mfano website
    video downloader online
    Apowersoft online video downloader
    Clip convertor

    Internet direct
    hapa ukitumia browser yako kawaida baada ya kufika katika video unayotaka kudownload unaongeza ss katika link ya video yako kisha unafuata maelekezo kudownload
    mfano kwenye link https://www.youtube.com/dsjbkj…… inakua https://www.ssyoutube.com/dsjbkj……

    au angalia post hii hapa
    na kama unataka kujua kuhusu kudownload kwa tubemate unaweza cheki hapa

    • 1
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Yellow101

    Yellow101

    • 0 Questions
    • 10 Answers
    • 0 Best Answers
    • 20 Points
    View Profile
    Yellow101 New
    2020-12-07T12:24:16+03:00Jibu - December 7, 2020 saa 12:24 pm

    Ili kupakua video kutoka YouTube, vifaa tofauti vinasaidia njia tofauti. Kwangu, napendelea kupata video ya YouTube kwenye PC, ambayo inaweza kuhifadhiwa kwenye kompyuta na nafasi kubwa ya diski. Zana nyingi mkondoni zinaweza kutusaidia kupakua video, lakini napendelea kutumia programu ambayo inaweza kunisaidia kupakua na kuhariri video iliyopakuliwa. Hapa ni pamoja na njia za kupakua video ya YouTube kwenye vifaa tofauti na jinsi ya kuhariri video.
    https://www.reneelab.com/free-record-youtube-on-pc-ios-android.html

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Nawezaje kupata tik Twitter?

    • Nawezaje kuzipata sms za mke wangu katika simu yangu ambazo zinatumwa na watu wake?

    • Unaizungumziaje Bluehost katika kutengeneza website?

    • Kuna hosting za bure?

    • Hosting bora zaidi ni ipi?

    • Waptrick ni nini?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.