Njia gani naweza kutumia kudownload video za Youtube?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kuna njia nyingi za kudownload video za youtube kwenye simu yako ya android. Baadhi ya njia za kudownload ni
Kutumia Apps
Kuna apps nyingi zinazoweza kukuwezesha kudownload apps lakini apps hizo hazipatikani Google Playstore. mfano
Videorder
Tubemate
Vidmate
Snaptube
Youtube app
Kwa kutumia app ya youtube unaweza kudownload kwa sababu wanakupa uwezo wa kufanya hivyo. Tatizo la njia hii video utaweza kuiona kwa kutumia app ya youtube tu.
Online download
Unaingia katika website ya kudownload unaweka link ya video unayotaka kuidownload then una download
mfano website
video downloader online
Apowersoft online video downloader
Clip convertor
Internet direct
hapa ukitumia browser yako kawaida baada ya kufika katika video unayotaka kudownload unaongeza ss katika link ya video yako kisha unafuata maelekezo kudownload
mfano kwenye link https://www.youtube.com/dsjbkj…… inakua https://www.ssyoutube.com/dsjbkj……
au angalia post hii hapa
na kama unataka kujua kuhusu kudownload kwa tubemate unaweza cheki hapa
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppIli kupakua video kutoka YouTube, vifaa tofauti vinasaidia njia tofauti. Kwangu, napendelea kupata video ya YouTube kwenye PC, ambayo inaweza kuhifadhiwa kwenye kompyuta na nafasi kubwa ya diski. Zana nyingi mkondoni zinaweza kutusaidia kupakua video, lakini napendelea kutumia programu ambayo inaweza kunisaidia kupakua na kuhariri video iliyopakuliwa. Hapa ni pamoja na njia za kupakua video ya YouTube kwenye vifaa tofauti na jinsi ya kuhariri video.
https://www.reneelab.com/free-record-youtube-on-pc-ios-android.html