Nitatumiaje WhatsApp kwenye computer?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
JINSI YA KUFANYA SETUP KWENYE LAPTOP AU COMPUTER YAKO.
Kwa kutumia smartphone yako fanya yafuatayo.
*Fungua whatsapp kwenye simu yako>>bonyeza sehemu ya menu au setting>>kisha chagua whatsapp web>>weka simu yako kwenye screen ya computer au laptop yako kwa ajili ya kufanya scanning ya code zinazoonekana kwenye screen yako.
kutoka hapa https://mojasky.com/tumia-whatsapp-katika-laptop-au-kompyuta-bila-kutumia-application-yoyote/