Nitapataje namba ya simu ya Diamond Platnumz?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Kupata namba ya simu ya Diamond Platnumz haiwezi kuwa rahisi. nakushauri utafute njia nyingine ya kuwasiliana naye
Kama unataka kuwasiliana nae kwa mambo binafsi nakushauri umtumie ujumbe kutumia instagram. Account yake ni DiamondPlatnumz
Kwa maswala ya kibiashara kama bookings tumia email yake ambayo ni bookplatnumz@gmail.com