Nitanunua wapi king’amuzi cha Azam TV?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Unaweza kununua kisimbusi cha Azam kwa Mawakala walio karibu yako na watakufungia kabisa nyumbani kwako. Pia unaweza kupata katika ofisi zao mkoani Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Nyerere na barabara ya Mandela (pembeni ya Tazara/Mfugale flyover). Kuangalia wauzaji walio karibu yako bonyeza hapa