Nitajuaje simu yangu ilipo kama imepotea au imeibwa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Habari mpya ni kwamba unaweza tafuta handset iliyokosekana kwa kutumia Google’s Android Device Manager, hata kama huna progarmu “APP” imewekwa (install).Chukua Kompyuta yako (“kama huna kompyuta basi utaona maelezo yajayo hapo chini”), Unganisha kwenye internet. Fungua Chrome, hakikisha akanti yako ya Google ipo wazi (umeifungua), (Umakini, sehemu hiyo ni ya muhimu). Andika “Where is my phone” katika sanduku kuu ya chrome. Hii itafanya Serach, na Google moja kwa moja ita load kurasa ya Android Device Manager ndani ya matokeo ya utafutaji. Wakati wa kupima kwang “my test” Nimeona hii sanduku kidogo kuwa pretty na kukosa baadhi ya matokeo. Hivyo kwa ajili ya kutafuta simu yako haraka nenda mbele na kubonyeza link “Android Device Manager”.
hii itakupeleka mpka kwenye kwenye Device Manager, hutakiwi kuingia tena kwenye Akaunti yako ya Google. Hapa na mara tu anza kutrak Simu yako.
Mara baada ya kuiambia Device Manager kuitafuta simu yako iliyopotea, itaanza kutafuta na kukupatia jibu baada ya muda mchahe tu. Itabidi itoe muda ilikuwa iko, Eneo, na Usahihi mbalimabali. Hii itakuopa wazo nzuri sehemu ambako simu yako ipo.
Kuhakikisha Data yako binafsi ni salama, unaweza kutumia kitufe cha “Lock” ili kuwezesha kioo “screen” kufunga kwa password hata kama mwanzo ulikuwa hukuweka.
Mara baada ya Password kuwekwa, unaweza pia kuweka ujumbe juu ya Lock screen kitu kama “Thanks for finding my phone” (Asante kwa kutafuta simu yangu). Tafadhari piga namba hapa chini “(Kisha weka namba kwenye box hapa chini)”
Kusoma kwa upana zaidi Bonyeza Hapa