Nitajuaje jinsi ya kutengeneza email?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Jinsi ya kutengeneza email ni rahisi sana. Kwanza inabidi uamue aina ya email na shughuli itakayotumika kwa ajili ya hiyo email mfano kama ni email ya kazi au kwa ajili ya mambo binafsi. Sio hivyo tu pia kifaa gani unachotumia labda ni simu au kompyuta. Namna rahisi unavyoweza kutengeneza email ni kwa kutumia njia zifuatazo.
Gmail
Wengi wetu tunatumia simu za android ambazo zina app ya gmail. Ukitaka kufungua email yako unaingia katika app hiyo alafu unaenda kwenye add account unachagua google alafu unafuta maelezo mengine kufungua email yako. Apa utapata email yenye @gmail.com
Apps nyingine zinazokuwezesha kutengeneza email ni kama
Outlook
na
Yahoo Mail
Kwa email kwa ajili ya kazi kama ya mojasky admin@mojasky.com huwa zinalipiwa kivyake au unaweza kuiunganisha na domain yako mfano mojasky.com. Ukitaka emails za aina hii tembelea link HII kisha bonyeza kwenye Choose Another Category alafu chagua E-mail hosting. Fuata hatua hizo kupata email ya biashara au ya binafsi yenye jina unalolipenda