Nitajuaje jinsi ya kudownload video kwa kutumia MB chache?
Pinned
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kitu cha kwanza ili kudownload inabidi uende katika internet kwa kutumia browser yako then sehemu nyingi za kudownloadia video huwa zina machaguo ya format ya kudownload, inamaana kama zipo 1080p na 720p hapo 720p itakuwa na mb kidogo na quality ndogo ukilinganisha na 1080p.
Kama unaongelea video za Youtube na unatumia simu unaweza tumia app ya tbemate kudownload video na itakuonesha kiasi cha mb kabla ya ku download
soma hapa Jinsi ya ku download video za Youtube kwa kutumia Tubemate app