Nitajuaje jinsi ya kucheza mpira ki namba?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Katika mpira wa miguu watu wamekuwa wakichanganya namba za kucheza wakiwa uwanjani wakijua kwamba mchezaji kama Cristiano Ronaldo anavaa namba saba basi yeye ni 7 ya RM lakini kumbe ni LM.Ufuatao ni mchanganuo wa namba za uwanjani
1.GK-Goal Keeper
2.RB-Right Back/Right Defender
3.LB-Left Back/Left Defender
4.CB-Central Back/Cenrtal Defender
5.CB-Central Back/Central Defender
6.CM-Central Midfielder
7.RM-Right Midfielder/Right Winger
8.CM-Central Midfielder
9.CF-Centre Forward/striker
10.CF-Centre Forward/Second Striker
11.LM-Left Midfielder/Left Winger