Nini maana ya lugha?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Lugha ni njia pekee ambayo fikira,maoni na hata matamanio ya mwanadamu huwasililishwa kwa kupitia sauti anazotamka
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppLugha..ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana zilizokubaliwa na wanajamii wenye utamaduni Mmoja wenye kufanana Kwa lengo la mawasiliano baina Yao.