Nini maana ya code?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Flora Jumanne
Code ni kama alama zinazotumika kuwasiliana au kufikisha ujumbe. inaweza kutumika pia kuficha maana ya kitu kingine mfano kipindi cha shule mnaweza kuta mnaaiita simu bomu ili isijulikane kama mnaongelea simu , maanaake code ya neno simu ni bomu
Code pia kwa watu wa kompyuta wanamaanisha kutengeneza app, wanasemaga kucode.