Nini maana ya cd4?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Rickyllobbe
CD4 ni kifupi cha “cluster of differentiation 4″.CD4 ni aina ya seli nyeupe ambazo zinasaidia au kazi yake kubwa ni kuangamiza kila akutanapo na adui katika mwili(aweza kuwa bacteria au virus)