Nini kirefu cha WI-FI?
RickyllobbeProffesional
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kirefu cha Wi-Fi ni Wireless Fidelity.
Imekua ikieleweka kuwa ni hivyo japo kuna taarifa kuwa Wifi sio kifupi cha Wireless Fidelity bali ni neno tu la kibiashara lililotengenezwa na mwanzilishi wa kampuni iliyohusika na swala hilo la Wi Fi.