Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 517
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 8, 20192019-02-08T02:24:12+03:00 2019-02-08T02:24:12+03:00Elimu, Tanzania

Nini kifanyike ili Tanzania ifanikiwe katika swala la elimu?

Nini kifanyike ili Tanzania ifanikiwe katika swala la elimu?
  • 1
  • 692
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 82 Answers
    • 0 Best Answers
    • 366 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    2020-04-08T09:01:41+03:00Jibu - April 8, 2020 saa 9:01 am

    Katika kitabu kinachoitwa Outliers ambacho kimeandikwa na Malcom Gladwell. Kinaelezea kwanini watu hufanikiwa. Kuna sehemu kinazungumzia kuhusu mafanikio ya kielimu. Anasema Waasia wanaonekana wana akili sana sababu wana muda mwingi wa kusoma kuliko watu wengine. Anasema kwa mwaka mwanafunzi wa Marekani anasoma siku 180.

    Mwanafunzi wa Korea kusini anasoma siku 220 kwa mwaka wakati mwanafunzi wa Japan anasoma siku 243 kwa mwaka. sasa nikajiuliza mwanafunzi wa Tanzania anasomaje, kuna siku 60 za likizo ya mwezi wa sita na kumi na mbili. jumamosi na jumapili kwa mwaka ni siku 106. kuna wiki moja ya pasaka na wiki moja ya mwezi wa 9 jumla siku kama 10 ukitoa jmosi na jpili. kuna sikukuuu tufanye siku 5 hivi. jumla ni siku 171. ukichukua siku 365-171 unapata siku 194 kwa mwaka. tofauti ya siku 49 na japan. Huu ni muda mwingi sana wa kujifunza.

    Aliendelea kuandika kuwa huko bronx New York. Ni asilimia 16 tu ya wanafunzi wanaweza kufanya hesabu vizuri. Wakaanzisha shule za majaribio. Shule hizi huanza saa moja na nusu hadi saa kumi na moja jioni. Hapo unapewa na Homework za kutosha. Jumamosi darasa linaanza saa 3 asubuhi ha saa 7 mchana. Likizo ilipunguzwa kwa wiki tatu na siku za likizo darasa lilianza saa 2 asubuhi hadi saa 8 mchana. Matokea yalikuwa asilimia 84 ya wanafunzi waliweza kufanya hesabu vizuri na 80% walifanikiwa kufika chuo kikuu. Ila hili linahitaji kupata chakula shuleni.

    Kwa hiyo niliona kwamba Tanzania watoto hawasomi vya kutosha. Kwanza kuna upungufu wa waalimu na muda mchache wa kusoma unaongezeka juu. Mwanafunzi anaanza saa mbili asubuhi mpaka nane mchana. Masaa sita tu ya kusoma.

    Naonelea tuongeze muda wa kusoma labda toka moja na nusu hadi saa kumi jioni. masaa kama 8 na nusu. Tuongeze siku za kusoma walau zifike 230 kwa mwaka. Pia tujitahidi hata uji upatikane shuleni. chanzo: Jamiiforums.

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • kirefu cha NACTE ni nini?

    • Nawezaje kukumbuka nilichokisoma?

    • Taratibu za kiserikali za kuzingatia kabla ya kuanzisha redio au TV Tanzania ukoje?

    • Masharti na taratibu za kuomba mkopo Bodi ya Mikopo HESLB zikoje?

    • Mkuu wa chuo cha UDOM ni nani?

    • Taratibu za serikali za kuchimba kisima zikoje?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.