Ni namna gani ya kuongeza iq ya mtu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
IQ ni kifupi cha intelligence quotient, ni maarufu zaidi katika nchi za magharibi.
Ili kuongeza IQ unaeza fanya hivi
-Fanya mambo kama michezo ya kuchangamsha akili kama kufumbua mafumbo kucheza magemu kama sudoku na mengine
-Ongeza ujuzi mwingine mfano jifunze lugha mpya na kusoma vitabu
-Kujifunza pia vyombo vya kupiga muziki kama kinanda na gitaa inaweza kusaidia pia
-Jifunze lugha mpya
-Soma vitabu mara kwa mara
Muhimu zaidi ni kuongeza ujuzi wowote ule hasa ule ambao unatamani uwe nao
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppEdutan
Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Tunahitaji kuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na sio IQ kubwa”
Hii ni kwa sababu IQ hupimwa kwa mitihani ambayo unaweza kuifanyia mazoezi na ukafanya vizuri katika mitihani hiyo
Mwandishi huyo alipendekeza njia 70 za kukuwezesha kuongeza uwezo wa kukumbuka na sio iq.
Soma njia hizo (kwa lugha ya kiingereza)