Nimepoteza kadi yangu ya NMB nifanyeje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Piga simu ya bure 0800 002 002 au tuma email kwenda hudumakwawateja@nmbtz.com au tembelea tawi la karibu la benki ya NMB.
Unaweza kutumia mawasiliano hapo juu pia kama una swala lolote kuhusu ATM au kadi yako ya ATM