Nimepoteza kadi yangu ya NHIF, nifanyeje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Endapo kadi imepotea, mchangiaji atatakiwa apate ripoti ya kupotea kwa kadi kutoka polisi pamoja na barua ya kuomba kadi nyingine kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na kisha atajaza formu nyingine atakayobandika picha yake. Gharama ya kupata kadi nyingine ni Shilingi 20,000 kwa mara ya kwanza na kama ikipotea zaidi ya mara moja atatakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000