Nilikosea wakati najaza fomu ya kuomba mkopo chuo, nifanyeje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Calvin Mlay
Unatakiwa kuandika barua ya kurekebisha/kusahihisha taarifa za kipengele husika, kisha uitumie HESLB kwa njia ya EMS kwenda
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
Plot No. 8/46, Sam Nujoma Road, Mwenge Area,
P.O Box 76068,
Dar Es Salaam.
Mawasiliano mengine ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi
Tel: +255 -22 2772432/33
fax: +255 -22 2700286
Email: info@heslb.go.tz
Website: http://www.heslb.go.tz