Nifanyeje kutatua tatizo la “NO COMMAND” katika simu ya android?
Faustine JohnExpert
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Njia ya kwanza ni unanza kwa kubonyeza button ya kuwashia ya kuongezea sauti na button ya home kwa pamoja alafu unaenda kwenye reboot system unaichagua kwa kubonyeza button ya kuwashia
Njia ya pili ni kwa kufanya factory reset(hii itafuta kila kitu kilichopo kwenye simu ikiwemo nyimbo picha na video) hapa unaanza kwa kubonyeza button tatu kwa pamoja kama njia ya kwanza hapo juu alafu unaenda hadi kwenyesehemu iliyoandikwa factory reset unaichagua. hapo simu yako itaanza upya kabisa.
kumbuka: kushusha chini katika machaguo unatumia button ya kupunguzia sauti na kuchagua(enter) ni button ya kuwashia simu.