Nifanyeje ili internet yangu ifunguke?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Kitu muhimu cha kwanza si ni kuhakikisha kama una mb na pia umewasha data katika lain husika yenye mb.
Kingine kama labda simu yako ni mpya inaweza kuwa haina settings za mtandao wako kwenye internet. Piga 100 mtandao wowote ongea na mhudumu wa mtandao atakuelekeza jinsi ya kupokea settings za internet kwenye simu yako