Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 33714
In Process
Adv
Anonymous
Asked: November 18, 20192019-11-18T10:22:35+03:00 2019-11-18T10:22:35+03:00NBAA

Ni mitihani gani inayoendeshwa na NBAA?

Ni mitihani gani inayoendeshwa na NBAA?
  • 1
  • 557
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Salim Jumbe

    Salim Jumbe

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 127 Answers
    • 0 Best Answers
    • 436 Points
    View Profile
    Salim Jumbe Proffesional
    2021-04-10T13:00:51+03:00Jibu - April 10, 2021 saa 1:00 pm

    NBAA inaendesha mitihani katika ngazi mbili za kitaaluma;

    • Mitihani kwa ajili ya Cheti cha Uandishi na Utunzaji Vitabu vya Hesabu Ngazi ya I & II (Accounting Technician Examinations – ATEC Level I & II) yenye masomo manne manne kila ngazi na
    • Mitihani ya Kitaaluma ya Uhasibu – Professional Examinations ambapo mhitimu hupata shahada ya Uhasibu yaani Certified Public Accountant (CPA).

    Mitihani ya ATEC iko katika ngazi mbili ;

    • ATEC 1 na
    • ATEC II.

    Mitihani ya CPA iko katika hatua tatu ;

    • Ngazi ya Msingi yenye masomo matano,
    • Ngazi ya Kati yenye masomo sita na
    • Ngazi ya Mwisho yenye masomo manne
    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Kozi zinazotambuliwa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) ni zipi?

    • Ni masharti na vigezo gani vya kujiunga na mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania ...

    • Masharti ya kujiunga kufanya mitihani ya ATEC I ni yapi?

    • Je nikiwa sina masomo matatu niliyofaulu vizuri (credit) katika elimu ya Sekondari, lakini napenda kujiunga katika fani ya uhasibu, nifanye ...

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.